Mkuu wa Mkoa wa Geita, Ndugu Robert Gabriel
akipata maelezo ya Wizara kutoka kwa Bibi Jane Lyatuu alipotembelea banda la
wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika maonesho ya Viwanda vya
Tanzania vya Tanzania yanayofanyika Viwanja vya Mwl. Nyerere jijini Dar es
salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Ndugu Robert Gabriel
akipata maelezo ya namna TANTRADE inavyosaidia sekta ya asali kupenya kwenye
masoko ya ndani nan je. kutoka kwa Bi Elizabeth Haule Afisa Biashara wa taasisi
hiyo.
Mkurugenzi Utumishi Wizara ya Biashara, Viwanda
na Masoko Zanzibar ndugu Mohamed Jaffary Jummanne akipata maelezo kuhusu utekelezaji
wa majukumu ya Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kutoka kwa Mkuu wa
Kitengo cha TEHAMA Bibi. Veronica Ngerageza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...