Watendaji wakuu wa  kampuni za utalii za Flight Link na Zara tours wakiwa  pamoja ndani New York times travel show jijini New York, Marekani
Mkurugenzi wa East point hotel, ndugu Rashid Adam, na Pia ni Meneja Mauzo na Masoko wa kampuni ya ZARA TOURS akiwa kwenye maonesho ya kitalii nchini marekani New York times travel show. Watu ni wengi na maonesho ni makubwa New York times travel Sambamba na Balozi wa Tanzania nchini Marekani,Wilson Masilingi, wapo pia Tanzania Tourist Board ngorongoro crater pamoja na Tanapa. Maonesho hayo yanatarajiwa kufikia kilele siku ya Jumapili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...