Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Nipe Fagio, Bi. Tania Hamilton akisisitiza jambo katika mkutano na wadau mbalimbali jana jijini Dar es Salaam wakati wa kikao cha uzinduzi wa kampeni ya usafi nchi nzima inayoendeshwa na shirika hilo. Kampeni hii inayojulikana kama Let's Do It Tanzania! ni endelevu hadi kilele cha Siku ya Usafi Duniani tarehe 15 Septemba mwaka huu ikilenga kuwashirikisha asilimia tano (watu 1.1milioni) ya Watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi katika zoezi hilo la usafi. Kitaifa, kampeni hiyo ilizinduliwa na Waziri wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Bw. Suleiman Jaffo mwezi wa Pili mwaka huu.
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la Kiserikali la Nipe Fagio, Bi. Tania Hamilton (aliye chuchumaa kushoto) katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali jana jijini Dar es Salaam wakati wa kikao cha uzinduzi na kufahamu zaidi kampeni ya usafi nchi nzima inayoendeshwa na shirika hilo. Kampeni hii inayojulikana kama Let's Do It Tanzania! Ni endelevu hadi kilele cha Siku ya Usafi Duniani tarehe 15 Septemba mwaka huu ikilenga kuwashirikisha asilimia tano (watu 1.1milioni) ya Watanzania wenye uwezo wa kufanya kazi katika zoezi hilo la usafi. Kitaifa, kampeni hiyo ilizinduliwa na Waziri wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Bw. Suleiman Jaffo mwezi wa Pili mwaka huu.
Nipo Sweden hizo kampeni mbona sijaziona huku au huku si duniani jamani???
ReplyDelete