Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Uganda Yoweri
Museveni mara baada ya kuzungumza na wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake
Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya kutoka kwenye chumba cha mkutano
wa Wanahabari Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni akizungumza na wanahabari hawapo pichani mara baada ya kikao chake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanahabari hawapo pichani mara baada ya kikao chake na Rais wa Uganda Yoweri Museveni Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Uganda Yoweri
Museveni mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...