Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu agizo la mwezi mmoja kwa kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kukamilisha miradi ya ujenzi barabara ya Chang`ombe wilayani Temeke na kwamba ikishindwa kutekeleza agizo la serikali itasitsha mkataba na haitapewa tenda tena katika Mkoa Dar es Saĺaam.
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akiwa ameambatana na mkuu wa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Felix Lyaniva,Mkurugenzi wa wilaya ya Temeke,Lusubilo Mwakabibi pamoja na Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji wa Maji wa DAWASA, Mhadisi Aaron Joseph wakikangua mira mbalimbali inayojengwa na DMDP leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji wa Maji wa DAWASA, Mhandisi Aaron Joseph akifafanua kambo mbele ya Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda katika ziara ya kukangua miradi mbalimbali inayojengwa na DMDP leo katika ziara ya kukangua miradi ya mbalimbali wilaya ya Temeke.
Mafundi wakiendelea na kazi ya ujenzi barabara
Ukaguzi wa daraja (Picha zote na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...