Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya
Takwimu (NBS) Ephraim Kwesigabo akitangaza hali ya Mfumuko wa Bei wa
Taifa kwa mwezi Agosti, 2018 leo jijini Dodoma.
Baadhi ya waandishi wa Habari walioshiriki kwenye ‘Press Conference’ ya
kutangazwa kwa hali ya Mfumuko wa Bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2018 leo
jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...