Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Malindi Sports Club anaetambuliwa na Bodi ya Wadhamini Mtumwa Said Haji (Kijiba) akitowa maelezo kwa Waandishi wa habari kuhusu mgogoro wa Uongozi unaoikabili klabu hiyo. (kushoto) Kaimu Katibu Mkuu wa Malindi Spoti Club Ali Salum Nassor (Mkweche.)
Waandishi wa Habari wakimsikiliza Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Malindi Sports Club Mtumwa Said Haji (hayupo pichani) wakati wa mkutano uliofanyika Ukumbi wa sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Chuchu fm Redio Yahaya Saleh akiwauliza swali viongozi wa klabu ya Malindi wanaotambuliwa na Bodi ya wadhamini wakati wa mkutano uliofanyika Ukumbi wa sanaa Rahaleo Mjini Zanzibar.
Picha Na Miza Othman – Maelezo Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...