Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Willibrod Slaa wakati Balozi huyo alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma leo
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiongea na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Willibrod Slaa wakati Balozi huyo alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifurahi jambo na Balozi wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Willibrod Slaa wakati Balozi huyo alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...