Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya
Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akipokea tuzo ya pongezi kwa
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, baada ya kukabidhiwa na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Gaudentia Kabaka katika Kongamano la Jumuiya hiyo ,
kumpongeza Rais Dk. Magufuli kutimiza miaka mitatau tangu aingie madarakani na pia kwa utekelezaji thabiti wa Ilani ya CCM,
lililofanyika katika Ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam, Novemba 17,2018. Kushoto
ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Mwalimu Queen Mlozi.
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya
Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole akisoma ujumbe ulioandikwa kwenye tuzo hiyo ya pongezi kwa
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, baada ya kukabidhiwa na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake Tanzania(UWT)
Gaudentia Kabaka katika Kongamano la Jumuiya hiyo ,
kumpongeza Rais Dk. Magufuli kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM,
lililofanyika katika Ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam, Novemba 17,2018.
Katibu
Mkuu wa UWT Taifa Mwalimu Queen Mlozi akishereheka pamoja na washiriki
mbalimbali waliofika kwenye kongamano hilo lililofana kwa kiasi
kikubwa,huku likihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya CCM ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)
Gaudentia Kabaka akielekezwa jambo na Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Mwalimu Queen Mlozi, katika Kongamano la kumpongeza Rais Dk. Magufuli kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM,
lililofanyika katika Ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam, Novemba 17,2018.
Baadhi ya Washiriki
wakishangilia wakati wa Kongangamano la Jumuiya ya Chama Cha Mapinduzi
ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kumpongeza Mwenyekiti wao CCM, Rais
Dk. John Magufuli kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM, lililofanyika Novemba 17,2018 katika
Ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam.
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya
Itikadi na Uenezi Humphrey Polepole alipokuwa akiwasili katika katika Kongangamano la
kumpongeza Rais Dk. Magufuli kwa utekelezaji wa Ilani ya CCM,
lililofanyika katika Ukumbi wa PTA, Temeke, Dar es Salaam, Novemba 17,2018.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...