Aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Felix Maagi akimpokea Mkurugenzi Mkuu mpya Dk. Maulid Banyani katika ofisi za Makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa asubuhi ya leo ikiwa ni kwa mara ya kwanza kufika katika shirika hilo akiwa Mkurugenzi Mkuu.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Dk. Maulid Banyani akisisitiza jambo kwa Menejimenti ya Shirika.
Mkurugenzi Mkuu Dk. Maulid Banyani akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Shirika la Nyumba la Taifa.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA
KWA PICHA ZAIDI BOFYA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...