Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza na Uongozi wa Taasisi ya Habari ya
MISA –TAN kuhusu maendeleo ya sekta ya Habari leo Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari ya
MISA – TAN Bibi.Salome Kitomary (Kushoto) akitoa maelezo mafupi kwa Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (Katikati) wakati
Taasisi hiyo ilipokutana nae leo Jijini Dodoma.Kulia ni Mkurugeni Msaidizi
Idara ya Habari Bw. Rodney Thadeus.
Mkurugeni Msaidizi Idara ya Habari Bw.
Rodney Thadeus akimkaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.
Harrison Mwakyembe (Katikati) kuzungumza na
Uongozi wa Taasisi ya Habari ya MISA – TAN leo Jijini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Habari
ya MISA –TAN Wakili James Marenga
akizungumza wakati wa kikao kati ya taasisi hiyo na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Dkt. Harrison Mwakyembe (wa kwanza kulia) kuhusu maendeleo ya sekta ya Habari
leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na
Uongozi wa Taasisi ya Habari ya MISA –TAN pamoja na baadhi ya viongozi wa
Wizara yake.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...