Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi Susan Mlawi akimkabidhi Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe kwa niaba
ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli zawadi ya Kamusi Kuu ya Kiswahili
iliyotolewa na Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) wakati wa Kilele
cha Kampeni za Uzalendo na Utaifa mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Kauli
mbiu ya Kampeni hizo kwa mwaka huu ni ” Kiswali Utashi Wetu, Uhai Wetu”.
Anayeshuhudia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Mhe. Juliana Shonza.
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa CD za makala ya uzalendo wakati wa hafla za Kilele cha
Kampeni za Uzalendo na Utaifa mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Kutoka
kulia ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe.
Juliana Shonza na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Bibi Susan Mlawi. Kauli mbiu ya Kampeni hizo kwa mwaka huu ni ”
Kiswali Utashi Wetu, Uhai Wetu”.
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa pamoja na
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza
(kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Bibi Susan Mlawi wakionyesha CD za makala ya uzalendo mara baada ya
kuzinduliwa rasmi wakati wa hafla za Kilele cha Kampeni za Uzalendo na
Utaifa mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Kutoka kulia ni. Kauli mbiu ya
Kampeni hizo kwa mwaka huu ni ” Kiswali Utashi Wetu, Uhai Wetu”.
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi Kitabu cha Uzalendo wakati wa hafla za Kilele cha Kampeni
za Uzalendo na Utaifa mwaka 2018 leo jijini Dodoma. Kutoka kulia ni
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza
na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bibi
Susan Mlawi. Kauli mbiu ya Kampeni hizo kwa mwaka huu ni ” Kiswali
Utashi Wetu, Uhai Wetu”.
Waziri wa Nchi Ofis ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Kapteni Msaafu George Mkuchika akimkabidhi Tuzo, Bw.Vita Kawawa aliyeambatana na mwanafamilia mwenzake Bibi. Zamaradi Kawawa kwa niaba ya Waziri Mkuu wa zamani Hayati Rashid Mfaume Kawawa ikiwa ni kuthamini mchango wake katika kukuza lugha ya Kiswahili kupitia sanaa ya maonesha na michezo ya kuigiza wakati wa hafla ya kilele cha Kamapeni ya Uzalendo na Utaifa leo jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...