Dereva wa
daladala akipata chakula cha mchana huku akiendelea kusuburi abiria wajae katika kituo cha mabasi makumbusho kilichopo wilaya ya
Kinondoni Jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
Mpiga debe akipata chakula cha mchana huku akiendelea na kazi kama alivyo naswa na kamera yetu
katika kituo cha mabasi leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...