Meneja
mauzo wa Kampuni ya Coca Cola ya Nyanza Bottlers, Samwel Makenge
(kulia) akikabidhi zawadi ya TV kwa Mkazi wa Mwanza Saduni Rashid
(kushoto) katika hafla ya kuwakabidhi washindi wa Promosheni ya Coca
Cola ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ iliyofanyika jana jijini humo. Promosheni
hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio
ambapo imedhamiria kuwatunuku wateja wake wapendwa kwa majuma 12 ambapo
watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine
nyingi kutoka Coca Cola.
Meneja
mauzo wa Kampuni ya Coca Cola ya Nyanza Bottlers, Samwel Makenge
(kulia) akikabidhi zawadi ya TV kwa Mkazi wa Mwanza Said Masoud
(kushoto) katika hafla ya kuwakabidhi washindi wa Promosheni ya Coca
Cola ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ iliyofanyika jana jijini humo. Promosheni
hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio
ambapo imedhamiria kuwatunuku wateja wake wapendwa kwa majuma 12 ambapo
watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine
nyingi kutoka Coca Cola.
Meneja
mauzo wa Kampuni ya Coca Cola ya Nyanza Bottlers, Samwel Makenge
(kulia) akikabidhi zawadi ya TV kwa Mkazi wa Mwanza Wilhad Shirima
(kushoto) katika hafla ya kuwakabidhi washindi wa Promosheni ya Coca
Cola ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ iliyofanyika jana jijini humo. Promosheni
hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu huu wa Coke Studio
ambapo imedhamiria kuwatunuku wateja wake wapendwa kwa majuma 12 ambapo
watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu, runinga na bidhaa nyingine
nyingi kutoka Coca Cola.
Washidi
wa Promosheni ya Coca Cola ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ wakionyesha zawadi
za TV walizojishindia wakati wa hafla ya kuwakabidhi zawadi hizo jana
jijini Mwanza. Promosheni hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu
huu wa Coke Studio ambapo imedhamiria kuwatunuku wateja wake wapendwa
kwa majuma 12 ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu,
runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola.
Washidi
wa Promosheni ya Coca Cola ya ‘Kunywaaah na Ushinde’ wakionyesha zawadi
za TV walizojishindia wakati wa hafla ya kuwakabidhi zawadi hizo jana
jijini Mwanza. Promosheni hiyo ya miezi mitatu inaenda sambamba na msimu
huu wa Coke Studio ambapo imedhamiria kuwatunuku wateja wake wapendwa
kwa majuma 12 ambapo watu mbalimbali wanajinyakulia fedha taslimu,
runinga na bidhaa nyingine nyingi kutoka Coca Cola. Pamoja nao ni
wafanyakazi wa Kampuni ya Nyanza Bottlers, Samwel Makenge (wa pili
kushoto) na Deus Kadiko (kulia).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...