Rais wa Ugandam Yoweri Museveni leo amepokea ndege mbili za kwanza wakati nchi hiyo inapofufua Shirika lake la ndege la Uganda Airlines.
Kiongozi huyo alikuwa kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe kupokea ndege hizo aina ya Bombardier CRJ900. Museveni alisema kamwe hatoruhusu shirika hilo linaloirejeshea nchini yake hadhi yake liangamie tena
Rais wa Ugandam Yoweri Museveni leo na Mama Janeth Museveni wakipungia wakati wakiingia kuikagua moja ya ndege hizo
Rais wa Ugandam Yoweri Museveni leo na Mama Janeth Museveni wakiwa ndani ya moja ya ndege hizo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...