Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti cha ushiriki Mkuu wa mauzo wa
Kanda ya Kati wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc, Bi Grace Chambua
wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya UCSAF jijini Dodoma mapema wiki
hii. Maadhimisho ya mfuko huo wa mawasiliano kwa wote yameadhimishwa na
kauli mbiu ikiwa ni “Mawasiliano kwa wote ni kichocheo cha kuufikia uchumi wa kati.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...