Wafanyakazi wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Michael Mhando na Emmanuel Medukenya wakisajili
wanafunzi kwa kutumia mfumo mpya wa alama za vidole katika viwanja vya
chuo kikuu cha Dodoma, jijini humo. Hivi karibuni kampuni hiyo
imewezesha wafanyakazi wake na vifaa vya kusajilia kwa kutumia alama za
vidole ili kurahisisha upatikanaji wa huduma hiyo kwa wateja wake popote
nchini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...