Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo
ya Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha
robo mbili Julai-Disemba2019 kilichofanyika leo katika ukumbi Ikulu
Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Amali katika kikao cha Utekelezaji wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo
mbili Julai-Disemba2019 kilichofanyika leo katika ukumbi Ikulu Mjini
Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi
Dkt.Abduhamid Yahya Mzee (kulia) alipokuwa akiuliza suala katika kikao
cha Utekelezaji wa mpango kazi wa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba
2019 cha Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kilichofanyika leo katika
Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (katikati) Waziri wa Elim na Mafunzo ya
Amali Riziki Pembe Juma na Naibu Waziri Simai Mohamed Said (kushoto).
Baadhi ya Maafisa katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar
wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Uongozi
wa Wizara hiyo leo katika kikao cha siku moja cha Utekelezaji mpango
kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 kilichofanyika
Ukumbi wa Ikulu Mjini zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein(kulia) akimsikiliza Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Simai Mohamed Said (kuishoto) akichangia katika kikao cha Utekelezaji
wa Mpango kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 cha Uongozi
wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar, Mwenyekiti wake la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili
kushoto),Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Riziki Pembe Juma na Katibu
Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid
Yahya Mzee (wa pili kulia.
Mkurugenzi wa Maktaba Kuu Zanzibar Sichana Haji Foum alipokuwa
akisisitiza jambo wakati akichangia katika kikao cha Utekelezaji wa
mpango kazi kwa kipindi cha Julai-Disemba 2019 cha Wizara ya Elimu na
Mafunzo ya Amali kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Maalim Abdalla Mzee (kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya Utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha robo mbili Julai-Disemba 2019 katika kikao cha Uongozi wa Wizara hiyo kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)Mkurugenzi Idara ya Mipango,Sera na Utafiti Khalid Waziri,(kulia). (Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...