Na Dixon Busagaga.Moshi
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB ,Dkt Charles Kimei amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika jimbo la Vunjo kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, hali inayoashiria uwepo wa mchuano mkali miongoni mwa makada wa Chama hicho waliojitokeza kuchukua fomu hii leo.
Ikumbukwe Jimbo la Vunjo limekuwa chini ya James Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi Taifa.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...