Mtendaji Mkuu wa
Mahakama ya Tanzania, Bw. Mathias Kabunduguru (katikati) jana amesaini mkataba wa ujenzi wa jengo la Makao
Makuu ya Mahakama ya Tanzania na Mwenyekiti wa Kampuni ya Reli kutoka nchini
China, Bw.Xie Zhixiang CRJE(East Africa) ambaye
hayupo pichani .Jengo hilo litajengwa kwa muda wa miaka miwili, eneo la NCC Jijini
Dodoma. Kushoto ni Msajili Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Wilbert Chuma na (kulia)
ni Msajili wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Mhe. Kevin Mhina.
Mwenyekiti wa Kampuni
ya Reli kutoka nchini China, Bw.Xie Zhixiang CRJE(East Africa) akisaini mkataba
huo. Tukio hili limefanyika kwenye ofisi za Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania,Jijini Dar es Salaam.PICHA NA INNOCENT KANSHA - MAHAKAMA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...