dom bwana! we acha tu. hii ni shoo ya supa melodi jana naiti pale miami

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kumbe hata Dom kuna mambo ya kwachu kwachu,kuna mtoto mmoja mtundu sana kwa mambo haya anaitwa Odilia yuko Twanga pepeta original ye ndio anafunika sasa baada ya kuondoka Lilian internet na Aisha Madinda

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 29, 2006

    kwani huo ukumbi anamiliki nani?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2006

    eeh jamani ukumbe hata haujafutwa vumbi kulikoni hebu jamani angalieni mtu anakatika akitoka hapo kama amemwagiwa chokaa !!!starehe mbele kwa mbele ila mhh vumbi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...