mie na diana tukila pozi na miss photo point photogenik 2006 wema isaack sepetu ambaye pia ni miss tz 2006

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyo wa pembeni miguu imekomaa kama Luis Figo, huyu ndo alkuwa wanga?? jamani

    ReplyDelete
  2. Wa pembeni mzuri bwana.

    We huoni hiyo shepu ni ya kimodel?

    ReplyDelete
  3. huyo mwenye viguu vyembamba, vilivyokomaa na vyenye matege ni Diana Muhere, ni yule mrembo ambaye Michuzi alidai anaendeleza vipaji bongo... mnyonge mnyongeni haki yake mpeni..figa yake imetulia huyu binti

    ReplyDelete
  4. Hivi michuzi alitaka kumutokea nini?

    ReplyDelete
  5. AISEE KUNA WATU WANA KEJELI! YAANI MSICHANA MZURI NAMNA HIYO UNASEMA ANA MIGUU KAMA LUIS FIGO!!? HEY! MICHUZI VIPI TENA MKONO MFUKONI!!? NYOKA ALISHA VIMBA NINI? SASA UNA SAWAZISHA AU KUBALANCE ILI WATU WASI STUKIE!POLE NDUGU NDIO MATOKEO YA JOTO LA WAREMBO HILO!!,tehe! tehe! tehe!!

    ReplyDelete
  6. michuzi aisee nauona mzee ulishadinda ghafla.aah kumamae.watu walisema haudindi ndo maana uwa wanakupeleka kupiga picha za wasichana wa mswati sasa hapo umedhiirisha wewe kidume.tena siku nyingine ukididisha wewe achia mambo hadharani.wengine wamesema hawajahi kukuona na mamsapu wako kwenye picha wewe ni warembo tu..mimi nimewaambia umri bado wa wewe kuoa bwana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...