Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2007

    Kipanya,
    Una maana JK anaposema "maisha bora kwa kila mtanzania" anatutega?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2007

    ndo maana yake ati mantegwa!!au hamjui?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2007

    Yaani baada ya bajeti im totally disappointed!!! who life will be ........!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2007

    Ndio maana yake wewe ulifikiriaje?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2007

    Ndio maana yake!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2007

    ANATUTEGA. NDIO MAANA YAKE!!!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2007

    WEwe "Tarehe July 3, 2007 7:59:00 AM EAT, Mtoa Maoni: Mauzauza

    Kipanya,
    Una maana JK anaposema "maisha bora kwa kila mtanzania" anatutega?"

    Ndio maana yake, JK anatutega kuwa msosi mnono. Unatakumbuka ANBENM?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 03, 2007

    Ila mtego wake si mzuri ukifunika anakuwa ndani kanaswa sasa kazi kumtoa umuweke mikononi, yaani ukijaribu funua kidogo umkamate anapata upenyo "pruuuu" huyoooo anakuacha na fikira zako za limau chumvi na pilipili.

    Sasa JK aangalie mtego wake usije ukanasa kwenye kutaka kumtoa akaruka halafu tukabaki na stori tu alikuwa tayari kanasa!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...