Home
Unlabelled
banjuka tu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sasa huyo dada mwenye suruali ya Jinz, hicho KIKOTI mbona kama ni cha MDOGO wake?
ReplyDeleteAu wenzetu mjini huko ndo mnavyovaa huko siku hizi?
Khaaaa!
naona watu wanabanjuka tu bongo safi sana halafu huyo aliye vaa capri pants za jeans sio oliver wa lukenya high school au nimefananisha?
ReplyDeleteeeh Michuzi hiyo Tukunyema sio mchezo. Mashine kubwa inaweza pindua mtu
ReplyDeleteKweli mambo yamebadilika Bongo. Zamani hapo Little Theatre palikuwa exclusively for Wazungu! Enzi hizo akina marehemu Erica Khuri na Tony Khuri wanafanya michezo pale. Tena miaka ya 80! Nafurahi kweli kuona waafrika siku hizi wanapafaidi.
ReplyDelete