richard anatolewa mlango usio ndio na kupelekwa kwenye gari mmbademmbade akiwa chini ya ulinzi mkali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. "Mshikemshike ndege tunduni, sisi wajanja tunakimbiax2" Vipi tena hapa mbona mbio nyingi kulikoni ulikuwa na furushi lako la noti nini!!! Utulivu zero mbona!!

    ReplyDelete
  2. Da! hii kweli noma hao askari wa nyumbani mbona wanene hivyo kweli wanaweza kufukuza mwizi hao au kwa sababu wapo airport na tabia yao ya kuwaganda washikaji wanaoshuka.Mkuu wa Polisi haoini hiyo au wakishavaa magandwa inatosha jinenepee nafikili kuna umuhimu wa askari kuwa na mtihani wa fitness kila baada ya muda,tazama wajomba vitambi.Wewe kama umeamua kuvaa gwanda unatakiwa uwe fit. Je masela wakikwapua pesa ya Richard na kuanza kukimbilia kipawa hao wajomba sidhani kama watafukuza parefu.Rushwa wanayokula inaonyesha dhahili.

    ReplyDelete
  3. Michuzi mlango usio ndio ...mhhhh hii kali

    ReplyDelete
  4. Namuona WBD (world's best dad) anakimbia kiulaini kwa nyuma !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...