mdau wa newala (sio ukerewe kama nlivyotaja awali, kunradhi) nathan yupo bongo kwa muda akitokea malawi kwenye mazishi ya baba yake hayati mzee chinyama chiume aliyezikwa kwa heshima zote za kitaifa na serikali. nathan anatoa shukurani sana kwa wadau wote walioshiriki kwa hali na mali katika kufanikisha usafirishaji na hatimaye mazishi ya baba yetu mpendwa.
nenda http://www.kanyamachiume.com/ kwa habari na picha zaidi. usiku huu kuanzia saa mbili nathan atakuwa katika kipindi cha mahojiano cha jenerali on monday katika tv ya channel 10

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. I thought Nathan anaishi Newala ( New York) na sio Ukererewe (UK) kama brother michuzi ulivyoandika hapo juu.

    Pole sana mazee na msiba !

    ReplyDelete
  2. He is handsome, na amejazia kifua kizuri cha kudekea, hehehe.

    ReplyDelete
  3. huyu mwamba lazima atakuwa anapiga chuma. Pole kwa msiba wa mshua

    ReplyDelete
  4. Jamaa kichwa chake kimetulia. Nimemwona anavyojieleza kwa ufasaha wakati anahojiwa na Jeneral kwenye chaneli 10 kwa kiswahili bila kuchanganya na hizo lugha zenu za huko sijui wapi sijui. Anajua historia vizuri na hata sisi amba Englishi is noti richabo hatukubabaika: O'C - Sinza

    ReplyDelete
  5. safi sana, sio ukiwa majuu unarudi na "mimba" watu wanafakamia burger, bbq kama ndo mwisho wa dunia! keep it up Nathan, u look healthy.

    ReplyDelete
  6. I'm proud of you Nathan. Good job.

    ReplyDelete
  7. pole sana kaka kwa msiba
    ndiyo dunia hivyo, sote tunaelekea huko huko
    lakini mzuri wewe
    na huo mwili loh !!!
    I wish ungekua jirani yangu
    sorry I had to there

    mwanadada nje ya nchi

    ReplyDelete
  8. Yaani wewe kaka ni mzuri mpaka udenda unanitoka!!!!! mpaka nimesahau kama umefiwa pole sana sasa wewe unakaa newala ya wapi ni mimi niko newala na wish ningekuona japo kwa coffee outing.

    ReplyDelete
  9. Senatorrrrrrrrrrrrrrr.....miss you!
    I'm proud of you.

    ReplyDelete
  10. Hey Buddy!...Pole sana aisee!
    I see una represent hehehehe!...I have to contact out buddy in Germany aone mambo yako aisee.

    Hope to see you soon!...Gimme a Buzz me when you get back

    ReplyDelete
  11. Na nyinyi wabongo si jui mumelipwa kiasi gani...SERIOUSLY you can hardly see sura yake...how can you deter his handsomeness....

    ReplyDelete
  12. hey Nate, proud of you. keep doing your thing. i see you are driving the girls crazy. you know who this is (shake well before use...lol) miss you

    ReplyDelete
  13. watu mawazo yao ni chini tu...mwenzenu kafiwa badala ya kumpa pole manleta mengine...brother ushauri wa "shake well before use" ni wa maana sana...take care

    ReplyDelete
  14. Naona tu kina dada mmeshaanza fujo? hicho kifua kina mwenyewe na mwenyewe ndio mie! na sitaki kushare!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...