Home
Unlabelled
fasheni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
sio waganda hao???
ReplyDeleteah!wakina mama wa uganda kwa hili
ReplyDeletemimi nawapigia saluti na vazi lao la heshima
Hila cha kushangaza Rais wao M7
hajui kuvaa hile kofia lake la kuchunguia ngombe mwizie Bush anavaa hakiwa ZIZINI kwake Texas lakini Rais M7 heti ndio anapokelea wageni wa kitaifa jamani!!!ushanba gani huu
Kaka michuzi mbona twatafutana ubaya?! wengine sie watu "wazenji" macho yetu yalivyo "selective" yameona kwengineeeeeeeeeeee!
ReplyDeleteBablii umeona nini? mugongomugongo eeenh?
ReplyDeletewee mtundu kwelii!
sio mtundu! kule nyumbani wanasema
ReplyDelete"weye chepe!"
BABLII UCHU WAKO WA UFUKARA USIWASINGIZIE WAZENJI TAFHADAHLI KWANI HATA MIMI MZENJI SWAFIII SWAFIOOO... KWAHIYO USHINDWE NA UTETEMEKE HAPO ULIPO
ReplyDeleteANONYMOUS WA PILI,KOFIA LILE KAMA LA MACOWBOY ANANISHANGAZAGA SANA M7,ANA USHAMBA WA NAMUGONGO BADO!
Mimi mswahili lakini nasema
ReplyDeleteBanange wakyala balunji nyo
Samahani twaanza kusahau Luganda
wewe anonymous hapo juu,sio ushamba,hiyo kofia ni bullet proof,watu wa northern uganda hawampendi & yeye anajua ndo maana anajilinda,nshamba ni wewe,kumbuka jamaa mwanajeshi
ReplyDeleteSsebo Michuzi, webale nyoo okutuweleza ekifananyi ekirungi, ekilaga abakazi abaganda ne Gomesi zabwe. Kakati gwe alimukodomi? Anti ogambye mu luswahili " wakwe ".
ReplyDeleteBwonaba nga oli mukodomi waffe, ndabira nyoo mwanyinaze.
Mdau Cologne
NB: kwa wasio elewa kimobo: nimemshukuru kwa picha hiyo ya wadada wa kiganda na vazi lao la gomes, nikamuuliza kama ni shemeji yetu, na kama ni ndiyo basi akamsalimie dada yetu.
Ni mimi mdau wa Cologne
Wamama wa Uganda wanapendeza sana na hili vazi. Popote ukiwaona vazi linawatambulsha. Wish na sie watanzania tuwe na vazi letu na litangazwe kitaifa na kimataifa. Nanyori, Arusha.
ReplyDeleteWenyewe wanaita Gomesi kwa kweli akina mama wanapendeza na vazi hili. Mnyumie nyoooo bhambi!!
ReplyDeleteanon wa arusha wa 8:42 ina maana hujui kuna vazi la taifa au?
ReplyDeletewengine tunaita (body,bogying,gomes) banyabo munyilide nyooooo, mbagala mwaaaa
ReplyDeletewanatambulishwa kwa wazi lao la kitaifa inapendeza kuwa identified kwa kitu fulani tofauti na wengine misuti tuu
lazima tujivunie mavazi yetu ya kitaifa
ha ha ! eti bullet proof, si avae helmet basi ili kujikinga zaidi .
ReplyDeletekofia yake ndo fasheni yake, iwe ushamba ua ujanja anajua yeye .