Home
Unlabelled
kicheni mwisho wa reli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
duh hhiyoo kali. Tunaambiwa kuwa kuna kiingereza cha uingereza, cha marekani na cha australia. Hicho ni cha Tanzania ya JK. thanx wadau.
ReplyDeleteMweeee!!!
ReplyDeleteHahaaaaa, ndio ile ya mzungu aliyeuliza, Where is John? jamaa wa kiswahili akajaribu kiingereza chake.
ReplyDelete"John is here here" John yuko hapa hapa, mzungu kaachwa kwenye mataa.
Labda ni ki-faransa Kigoma ni karibu na Rwanda/Burundi hao wanaongea ki-faransa
ReplyDeleteDuh...kaaz kweli kweli..no.. Job true true
ReplyDeletenapata wasiwasi na huyo bwana john viwanja alipokuwa anafikia yeye!!!duuuuuh!kwa kweli hapo ni soo sijui hata ni Kigoma sehemu gani ati!!!???
ReplyDeleteKwa hoteli hizi kweli ataacha kuuziwa BURT?
ReplyDeleteSisi wa kutoka Kigoma, shauri ya migebuka, hiyo lugha ni kigomenglish (sawa na creole ya sehemu za Sierra Leone na Liberia).
ReplyDeleteimetundikwa na mpishi mwingine: Top Cheerful Cook!!!!!!
Kitime alikua kigoma vijijini,mimi nimezaliwa kigoma Mjini,watu wameendelea sana,na kuna ma Hoteli makubwa ya kitalii tena yapo kandokando ya Lake Tanganyika,na yana hadhi inayo eleweka,sasa hapo alipo fikia kitime,ni sawa na hoteli zilizopo Vingunguti,kila mahali pana sehem kama hizi zenye maandishi yenye utatanishi, we mnyalu usitake kutuona wakigoma kua hatuna vitu vya kisasa.
ReplyDeleteSAFI SANA.LUGHA NI MATAMSHI YA NENO AU NENO LINAVYOANDIKWA?KAMA VYOTE NI SAWA BASI HAKUNA NONGWA.
ReplyDeleteSasa huyo bwana Kitime ametembelea maeneo gani hasa huko Kigoma isije kuwa amepita chocho kwa chocho hata mjini hajafika!manake hata sisi tunaoishi hapa Kig mjini hatujui hiyo hoteli ya bwn John ipo wapi jamani!!Hebu atusaidie maelezo ya kutosha kwanza!!!!!
ReplyDeleteDuh we John na viwanja vyako ni kiboko!Inaonekana hata Kijimgahawa cha kawaida tu kama Sun city hapo Kig mjini haukifaham!!
Weweeeee. TO do you do you, to say you say me!
ReplyDeleteMZUNGU LUK MI MAYI MILKI IS STENDINGI,PLISIIII.5 DOLA
ReplyDeleteNaona Kitime umekuwa reporter wa Michuzi sasa mambo ya muziki yekushinda nini.. si ufungue na wewe blog yako tu ..
ReplyDelete