mtaa wa goliondoi leo. sio dar pekee ambako nyundo zinatembea kila kona katika harakati za kubomoa majumba makuukuu na kujenga mapya. a-taun nako ni nyundo mtindo mmoja. ila, kama ilivyo dar, nyundo hizo haziendi sambamba na uboreshaji ama upanuaji wa miundombinu hasa ya maji safi na machafu pamoja na maegesho ya magari ambayo ni ile ile ya miaka ya 47
Home
Unlabelled
nyundo a-taun
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Al maarufu baracuda. kabla ya kupigwa chini kwa visababu fulani fulani ndio kilikuwa kiota chetu
ReplyDeleteNa miss Goliondi road jamani wasingebadili huu mji wauache wakihistoria kama wanataka si wajenge mwingine nje/ Huku tuliko kuna miji imeachwa kama ilivyokua miaka ya 60 na inapendeza sana....Wajenge majumba yao kwa kuanzisha mji mpya na kuaccha kamji haka kama kalivyokua
ReplyDeleteNa hiyo planning unayosema haitaweza kuwa nzuri kwa vile hizo sehemu za kupark hamna na hizo maji zitakua shida tu....
jamani goliondoi road mlipiga hii picha jioni nini huku juu jua na chini giza duu mbona kale kavideo hapo pembeni hujakionyesha? acheni majengo yarekebishwe lisije likatokea tetemeko bure yaanguke manake yasiku nyingi sana. mdau uliyetuletea hii chukua tanoooooo,
ReplyDeletesweet,
Arusha.
Nyundo haina deal, mapori kibao ya kujenga miundo mbinu mipya maegesho, nk Miji mipya bwana, haya Kalaghabaho !!!
ReplyDelete