Assalaam alaikum kaka,
napenda kuwataarifu wadau kuwa ile nguzo
iliyokuwepo pale karibu na soko la temeke sterio ilishaondolewa
kitambo.naona mdau hakuwahi kufika hivi karibuni.
nimeambatanisha picha
unaweza kuona pale kuna kashimo cha kiaina ilipotolewa hiyo nguzo.
mdau mulla

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HICHO SI KISHIMO CHA KIAINA BALI NI KEEP LEFT ZINAZOTUMIKA SIKU HIZI, TUMEACHANA NA ILE MIZUNGUKO MIKUBWA INAYOTUMIA NAFASI KUBWA NA KUSABABISHA MAGARI KUTUMIA MAFUTA MENGI BILA SABABU WAKATI YAKIZUNGUKA. TUNAJARIBU KWENDA NA WAKATI TU.

    ReplyDelete
  2. Hio picha ya juu mbona naona bado hatari ipo!!

    ReplyDelete
  3. hapana sio kweli uliosema mchangiaji wa mwanzo, hicho ni kishimo ambavyo vipi vingi tu siku hizi tanzania. ni katika teknolojia mpya ya kukamata wanaoendesha magari wakiwa walevi. takriban huwepo kama manane hadi kumi katika kila mile 1. sasa hapo dereva akionekana anaendesha zigzag anaachiwa anajulikana hajalewa, lakini yule anaendesha straight anasimamishwa kwani anakuwa anajulikana ni lazima amelewa! :)

    ReplyDelete
  4. aiseeee,,,
    ivi ilikua kweli???

    ReplyDelete
  5. Hebu niwaulize wadau mbona Barabara zetu nyingi hazina alam kwa mfano barabara hiyo haina alama ya kutenganisha magari yanayokwenda na kurudi na pia alama mfano round about kama ni kubwa au ndogo.bado ni hatari kuendesha kwani kila driver atajiona yeye ndio anasheria kama hakuna alama za barabara

    Farasi

    ReplyDelete
  6. Hivi kumbe ilikuwa kweli ?

    ReplyDelete
  7. aaahha nimecheka sana kusoma comment za anony wa Tarehe October 07, 2008 10:01 AM na anony wa Tarehe October 07, 2008 1:26 PM na ndio maana kila siku ya Mungu lazima nisome hii blog ya jamii kwa maana ata kama una hasira ni lazima ucheke na ziishe na kama una njaa utajisikia umeshiba.

    Hii ni Blog / website ni nambari wani Tanzania na Afrika kwa ujumla hakuna cha Ippmedia wala website yoyote ile.

    Keep it up Hon. Michuzi na bwana MK. Hii ni kazi nzuri sana sijawahi kuona.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...