JK akikutana na viongozi wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko pamoja na Taasisi zake ikulu jijini Dar leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hayo maandazi na keki mezani kama hawayali wanipe mie basi

    ReplyDelete
  2. KWANZA
    NATUMAINI WIZARA INAYOFATA KUTEMBELEWA NA JK NI YA MASHA, MANAKE MAUAJI YA ALBINO TUMECHOKA. NA HATUTAKI TENA ANY OTHER NEW CASE.
    PILI, HIVI JAMANI PIPI NI ZA LAZIMA, NECCESITY KWENYE MIKUTANO?? (HASA YA KIBONGO) AMBAYO UCHUMI SIO TAMBARARE? SI WANASEMA TAKE CARE OF CENTS AND....
    HATUWEZI KUSEVU?

    ReplyDelete
  3. Kwanini kila kitu mpaka JK aingilie?
    Hivi hawa jamaa wamesoma nini? na wanafanya nini kwenye wizara zao?
    Ona kila mmoja ana lundo la makaratasi ya kujitetea tu .
    Hakuna hata mmoja aliojaribu kubuni hata jinsi ya kujikwamua ktk nyanja za biashara na hata masoko.Kazi kusafiri kwenda nje ya nchi na kustarehe tu.
    Kwani hawaoni bidhaa feki(eg:building materials, nk) zilivyojazana madukani ambavyo vinahatarisha maisha ya watanzania?
    Na pia bei ya hivyo feki(lowest quality) ni sawa na zile za viwango vya kati/juu( medium/high quality).
    Jamani viongozi turudi kwa M.Mungu na tuwaokoe walalahoi wanaoteseka.

    ReplyDelete
  4. Mimi jamani naoba nisaidiwe huu utaratibu huu wa Rais unalenga kufanikisha nini????!!
    Mimi binafsi sioni mantiki yake na naamini ni Maonyesho kama kuna mtu anabisha basi anipe ya msingi kwa nini siyo.
    Mzawa

    ReplyDelete
  5. Zamani nilikuwa nabondea bidhaa za SIDO kwa sababu zilikuwa na sura mbaya. Nilikuwa sijakumbana na Mchina. SIDO sura mbaya lakini zinafanya kazi na kudumu. Wizara bila shaka iko bize kutafuta wawekezaji wa kichina...huku SIDO ikizidi kuuawa.

    ReplyDelete
  6. Naungana na wadau hapo juu. Mimi binafsi kichwa changu kinagoma kabisa kuelewa mantiki ya hizi ziara za rais zisizoisha wizarani. Nilisema juzi sana sana tunachopata katika hizi ziara ni kujibweteka kwa mawaziri wakimsubiri rais aje afanye kazi ya uwaziri. Kwenye hizi ziara vimekuwa vikiibuka vitu then ukashindwa kuelewa kama kweli tuna mawaziri au lah.

    Frankly kabisa mwenzenu sielewi tunalekea wapi kama nchi kwa style hii. Sijuwi kama mmeliona hili mawaziri ni kama vile wamesusa kazi yaani ni business as usual. Hivi tumekwamia wapi kama nchi mbona tunaabika hivi? Utaona hili unapotoka nje ya nchi, usipotoka hunda usilione. Kuna vi nchi miaka michache tu iliyopita vilikuwa nyuma mbali, i mean vilikuwa havioni ndani kwetu kiuchumi na mengineyo, nenda sasa utashangaa namna ambavyo vimetuacha na havina hata nusu ya rasilimali tulizonazo. Viongozi wetu ndio hao wamekalia kwenye siasa tu. I dont know kwa kweli ni uchungu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...