Enzi za furaha, Tracey na Colin Scully wakati wa harusi yao
Mwanaume mmoja mwenye wivu amemuua mkewe baada ya mkewe kutaja jina la mwanaume mwingine wakati wakifanya tendo la ndoa.

Colin Scully,53 amepandishwa kizimbani kwenye mahakama ya Leeds, Uingereza baada ya kumuua mkewe Tracey,39 kwa kumniga koo lake kutokana na wivu baada ya mkewe kutaja jina la mwanaume mwingine wakati wanafanya mapenzi.

Inasemekana kwamba Colin alikuwa akishuku mkewe anatoka nje ya ndoa baada ya kufanikiwa kusoma ujumbe wa simu katika simu ya mkewe lakini akaamua kufanya uchunguzi wake kimya kimya.

Pamoja na jitihada zake Colin hakufanikiwa kupata ushahidi wa kuthibitisha kutoka nje kwa mkewe.

Inasemekana usiku mmoja wakati wanafanya tendo la ndoa mkewe kwa bahati mbaya akamwita mumewe "Isaac" jina la mwanaume mwingine.

Paul hakuwa mwingine bali ni Isaac Daigton rafiki wa mkewe ambaye wako pamoja katika klabu yao ya scooter.

Colin kwa hasira alimkamata mkewe shingoni na kumkandamiza kwa nguvu kwa muda mpaka alipoona mkewe hatingishiki na kumuacha na kwenda kulala chumba cha watoto wao.

Inasemekana kwamba asubuhi wakati Colin akijiandaa kwenda kazini ndipo alipogundua kwamba alimuua mkewe na kuamua kupiga simu polisi "Nimemfanyia kitu mke wangu, sijui nimefanya nini".

Polisi walipofika eneo la tukio walimkamata Colin na baada ya maiti kufanyiwa uchunguzi iligundulika kwamba marehemu alifariki baada ya kukandamizwa shingoni kwa muda mrefu.

Kesi yake itaendelea kusikilizwa kwenye mahakama hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 39 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2009

    Mimi nilimfanyiaga bwana wangu makusudi . Nilikuwa nataka kumuacha katikati ya mapenzi nikataja jina la. Rafiki yake ila aniiache . Halikuniacha wala nini . Tena lilikuwa linaomba msamaha . ,nikatoka hapo nikaajiri male prostitute aje kwenye apartment yetu . Akaa pale sebleni mwanaume wangu alivyorudi kazini kufungua mlango anaona namkumbatia mtu mwingine . Haluniiacha . Jamani wnaume ving'anga'nizi lOoooooooo

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2009

    Hapo vipi?HAPO SAFI kwani hii ilishawahi kutokea uko Bongo kwa kiongozi fulani wa ngazi ya juu na akaushinda moyo wake akabaki analia tuuu na mkewe kupigwa kibuti sasa jamaa kashindwa kaamua kummaliza mkewe kisheria kauwa bila kukusudia waosha vinywa karibuni

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2009

    Mapenzi matamu sana kama uaminifu upo full, ikitokea umewekwa kushoto mauti hutokea, iwe kwa maradhi au kwa kufumaniwa, kwani matokeo yake ni hasira na jazba kinachofuata ni kipigo tu!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2009

    she didn't deserved to died jamani wanaume wivu wakati wao nje kutoka wanatoka kama kichanga loo umeona wmanamke akifanya hivi aaaah this is very sad.

    ReplyDelete
  5. Du hiyo kali,ila jamaa kafanya kitu kibaya kumniga sana hadi kumuua lakini mimi nina uhakika huyu jamaa hakukusudia ndio maana baada ya kugundua alipiga simu POLISI na kujilaumu alichokifanya.Tukiachana na Ushabiki mi nadhani NANIHII kaiweka hii ili tujifunze mambo kadhaa hapa.
    Kwanza Dada na Mama zetu wajue kwamba za mwizi ni Arobaini,kwa sababu huyu mama alificha siri yake mpaka mumewe kachemsha ktk kumchunguza.Lakini MUNGU kamkamatia siku hiyo.Jiepusheni na Uzinzi mnapokuwa ktk ndoa.
    Pia waTZ tujifunze na tuache tabia tuliyoizoea ya kujichukulia sheria mkononi unampiga mtu kumbe alishajifia alikuwa anatafuta chanzo tu.Tuwe wavumilivu.
    Marafiki wa uongo muache kuvuruga ndoa za watu.
    Kama ni kweli marehemu aliyafanya hayo atakuwa amekufa akiwa SHAHIDI WA UZINZI!

    ReplyDelete
  6. Mpemba Mfuata DiniMay 21, 2009

    Pumbafff...
    Jamaa kafanya sawa sawa..
    Na ingkuwa ni kwetu Saudia, tena huko mbali nisipataje, ingekuwa pale Lamu, Kenya tungempiga mawe mpaka afe huyo mwanamke..!!
    Jamaa kafanya makosa hapa duniani kwa mungu hana kosa...!!
    Nyambaffff...

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 21, 2009

    We mpemba nyambaff mwenyewe, unafikiri huyo bwana atakaa na amani, hicho kitendo kitamtesa kuliko tunavyofikiria.

    Ingekuwa mimi angeshaniua mara kadhaa... sijui sita au saba hivi..

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 21, 2009

    Loo, wanawake wengine wajiiinga kwelikweli! Hebu angalia anonym wa kwanza hapo juu, anaona siifa kuandika namna hivyo! Yaani wewe badala ya kumrudishia penzi mumeo kwa kukupenda, uliamua kumrudishia jeuri. Kwanini usitumie vyombo vya sheria kuachana naye au lengo lako ni kuwaambia wanawake wengine waige mfano wako?

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 21, 2009

    NYIE WANAUME KUPENDA KUWASEMA WANAWAKE KUWA WAZINZI MNAKOSEA. KWANI HUYO MWANAMKE HUWA ANAJI-ZINI MWENYEWE? KAMA TABIA MBAYA, ZIPO PANDE ZOTE MBILI; KIKE NA KIUME. TENA HASWA HASWA WANAUME NDIO CHANZO, MAANA KAMA HAUJAMFUATA MWANAMKE UKAMTONGOZA HADI KUMLAGHAI KWA UONGO MWISHOWE AKAKUBALI KULALA NA WEWE, UZINZI UNGETOKEA WAPI? ACHENI KULAUMU UPANDE MMOJA, MUWE VERY RATIONAL KATIKA TUHUMA ZENU. KUNA MTAKATIFU DUNIA YA SASA?! KILICHOBAKI NI KUOMBA TOBA KWA KILA MMOJA WETU NA KUKAA KWENYE MSTARI SIO KUPENDA KUWAONA WANAWAKE NI WAZINZI. HILO NENO HALIWEZI KUWEPO KWA JINSIA MOJA TU, KAMA KUZINI, MTU HAWEZE KUJIZINI MWENYEWE.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 21, 2009

    Bravo wewe Kidume kwa ulichokifanya tena huna kosa kabisa kwa muumba wako,tena huyo malaya kwa sasa yupo jehenam anapata moto wa mawe.Na wewe anoy. wa kwanza hapo juu wewe ni malaya tena wa kurithi unaona ushujaa? Pambafu mkubwa yaelekea umerithi kwa mama yako.

    Mangi wa K'koo

    ReplyDelete
  11. Du! huyo jamaa hana uvumilivu kabisa,

    mbona mi namvumilia my waifu wangu,

    tukiwa kwenye mapenzi mara amtaje juma, mara hamisi, juzi kaniita shabani.

    nikimuliza anasema inamsaidia kuleta stimu, mi nakauka tu na tunaendelea na maisha.

    mdau
    k/koo shimoni

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 21, 2009

    Hii stori niliiona zamani kwenye nifahamishe.com
    Mi naona wakati mwingine mtu kwa hasira unaweza ukafanya kama alivyofanya jamaa hapo kwani inauma sana kujua kuwa kuna mwanaume anatembea na mkeo.
    Yakishakupata kama hayo ya jamaa ndio utajua uchungu wake

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 21, 2009

    stori inasema "alimchunguza kujua km kweli ana mtu nje na hakupata la kumfumania"
    so ina maana uyu jamaa alisikiza maneno ya wachonganishi na mkewe alikua mwaminifu tuuu!!ata km kamtaja sii rafiki yake?na anajua the way wako karibu as best friends?
    ivi wanaume wangapi wanacheat nje ya ndoa zao na unajua kbs sema kwa kuomba msamaha wa kwanza!
    lazima anyongwe uyu dume

    ReplyDelete
  14. Al MusomaMay 21, 2009

    We Mpemba vipi - hata huko Saudia, Lamu au kwingineko asingepigwa mawe ila kuwe na ushahidi. Hiyo dini gani unafuata wewe...

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 21, 2009

    mapenzi kizunguzungu!!!!sasa anaona chungu yake!!hakuna mke hakuna mapenzi...

    ReplyDelete
  16. afande midakoMay 21, 2009

    hakukusudia kumuua ila ni mzuka tu ulipanda,
    subiri na wewe mke wako umpendae kwa moyo wako wote na kumuheshimu aje ataje jitu jingine unalolihisi katikati ya shughuli za kikubwa ndo uje utoe comment

    inauma sana inaonesha ni mchezo wao wa siku nyingi na huyo mwanamke mawazo yake yote wakati wa shughuli huwa yapo kwa jitu lingine

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 21, 2009

    Jamani"chuo cha siri" ni nini?

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 21, 2009

    Janani tuwe waungwana, kitendo alichofanya huyu bwana kama ni kusudi amefanya vibaya kwa sababu amehukumu. asilimia kubwa ya wanaume dio wapo mstari wa mbele katika uzinifu.. hawaridhiki na mtu mmoja, kwa hiyo kumuua mwezako kwa kitu usichukuwa na uhakika ni kibaya... amefanya vibaya sana... teana sana.kama alivyosema mdau tuache kuchukua hatua mikononi.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 21, 2009

    Janani tuwe waungwana, kitendo alichofanya huyu bwana kama ni kusudi amefanya vibaya kwa sababu amehukumu. asilimia kubwa ya wanaume dio wapo mstari wa mbele katika uzinifu.. hawaridhiki na mtu mmoja, kwa hiyo kumuua mwezako kwa kitu usichukuwa na uhakika ni kibaya... amefanya vibaya sana... teana sana.kama alivyosema mdau tuache kuchukua hatua mikononi.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 21, 2009

    serves her right

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 21, 2009

    Ni sawasawa, kwani hawa wanawake wana tabia mbaya, kama hakutaki ni afadhali aseme mapema kuliko kuanza vituko vya kishenzi. Mi mwanamke wangu amefanya sana vituko ili nimuache sikumuacha, siku moja akaamua kulala nje, nikaona sasa uanaume wangu unapotea, nikaamua kumuacha. lakini kwasababu bado nampenda nikavuta muuda then nikamuomba msamaha turudiane.
    na sasa namwangalia tabia zake, je anaelewa nini maana ya pendo na uhusiano na heshima katika uhusiano?
    akiendeleza tabia zake mbaya, sintamwacha ila ntamfanyia kitu ambacho hatajua nani kamfanyia na itakuwa fundisho kwake na kwa wanawake wasio wakweli.
    mbona sisi tukiwachoka tunawaeleza wazi kwamba hatuwataki?
    acheni unanihii....

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 21, 2009

    So sad hii mbaya sana wanaume mbona sisi tukifumwa hatuhuwawi kihivyo jamani mbona hii noma kwanza sisi males ndio wa kwanza wao kutoka nje.

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 21, 2009

    it is manslaughter not murder since the defendant will rely with defence of provocation.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 21, 2009

    Duh masawe umenichekesha kweli!!!!!!

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 21, 2009

    wewe anony wa may21 saa8:47AM unasema wanaume wanawalaghai wanawake hadi wanalala nao! wengine hata hawalali ati! yaani kwa kusimama kwendambele au mbuzi kagoma kwenda,au toroli!teh teh teh! basi inaonyesha nyie wanawake akili kichwani hakuna kabisa! wee jaribu kumlaghai mwanamme hata kama ni mtoto mdogo uone kama utampata!! wanaume wanafikiri vizuri labda baadhi ya wajingawajinga tu!lakini nao pia sio wajinga ila wanatuliza boli ili wale vya masugar mami maana vinajitembeza wakati mwingine ila siokuwa huwa wamelaghaiwa. ndo maana hutasikia mwanaume akijilaumu eti yule mwanamke alinilaghai nikakubali kumchapa utumbo!![vipi bonge hapo upo?]:-))

    ReplyDelete
  26. SARAWILIMay 21, 2009

    Kwa sie wezi wa wake za watu.tukiwa mzigoni mwanamke hataji jina langu. ananun'gunika beby...beby...beby..kwa hiyo akiwa na mumewe akikosea ataita beby na mume ashtukii

    ReplyDelete
  27. GodfatherMay 21, 2009

    Okei mmenogewa kwenye kilele, unajisikia uko mbinguni unasahau hata mazingira ulioko. Unaanza kuita jina la mpenzi wako huko undhani unamfurahisha kumbe umeita jina la mwingine. HEHEHEHE! Kazi kweli.

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 21, 2009

    JAMANI WADAU NAOMBA MUWE MNAFIKILIA KWANZA KABLA YA KUTOA MAONI YENU MSIKURUPUKE TU BILA KUFIKILIA NINAMAANA GANI BASI
    1. UNAPOSEMA WANAWAKE UNAMAANA NA MAMA YAKO,DADA YAKO SHANGAZI N.K
    2.UNAPOSEMA WANAUME PIA UNAMAANA BABA YAKO MJOMBA N.K

    SASA BASI KAMA WEWE UNABAHATI MBAYA UKAMPATA MWANAMKE AMBAYE HAJATULIA USIDHANI WANAWAKE WOTE WAKO VILE UTAKUWA UMEPOTEA NI SAWA NA KUSEMA WANAUME NI WALEFU BILA KUJWA NA WAFUPI PIA WAPO
    NINACHOTAKA KUSEMA KUWENI MNAFIKILI KABLA YA KULAUMU

    KILA MTU NA BAHATI YAKE UKIPATA MKENGE WAKO NA UKIPATA BAHATI SHUKURU MUNGU KWA PANDE ZOTE MBILI CHA MSINGI NI KUOMBA MUNGU UPATE MTU ANAYEDHAMINI MAISHA

    ReplyDelete
  29. SweetnessMay 21, 2009

    Nyie! Utamu wa ngono ndo usiseme. Unanongewa hasa jamaa anapojua kukuna huko mahala. Unaweza kusahau uko wapi una uko na nani na unaanza kutaja jina la kwanza unafikilia. Nikiwa kwenye kilele naweza kusema vitu na baadaye siwezi hata kukumbuka nilisema nini.

    ReplyDelete
  30. Mpemba Mfuata DiniMay 22, 2009

    wewe Al Musoma unaesema huko Saudia wanafuata uchunguzi, kunahitaji uchunguzi gani na wakati umesikia kabisa kataja jina la mwanaume mwingine? Au utasema hilo jina alilotaja ni la baba yake, au mwanae yake au mjomba wake? Unaapishwa tu kusema kwamba ni ukweli ulisikia akisema hivyo halafu watu wazima tunaanza kazi ya kukusanya kokoto za kutoa dozi...

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 22, 2009

    wewe fala nini, wacha pumba hizo,unamjua massawe?

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 22, 2009

    Annoy 8.47 May 21.Tumia akili inamaana we unatongozwa akili yote inahama unakuwa kama Robot.Kila kitu unapelekwa nawe unaenda. Eti wanaume wanakulaghai Unakuwa mvivu wakufikiria. Kuna watu Goodpretender kama Ladies wacha masihara. Na ndugu unayetajiwa majina tofauti daily mara Hamisi; Juma then Shabaan kuwa makini fanya uchunguzi kwa wife wako. Huenda anaendelea uhusiano kisiri siri na maboyfriend wa zamani anakuibia kiaina Usidanganyike eti anaongeza mzuka. Washenzi hawa wanakufanya mjinga ni longrun wakusheke.

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 22, 2009

    it is a lesson kwa madada/bitch wa kibongo. records shows that,in east and central africa, Tanzania's woman are the most and prominent untruthful. sorry, i don't mean all woman but the majority of them fall in this category! for instance i used to have a girl friend called Tatu, i loved her, but i never realized that she is a bitch/prostitutes. alikuwa akiwataja watu wengi mpaka nakuwa disappointed!

    najaribu kutafuta nchi gani ya kwenda kuolea/kutafuta mke bse i don't trust anymore bongoland womans!!

    Comment: tumiliki bastola kukomesha dharau za madem!!

    NI HAYO TU,

    ANALYST.

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 22, 2009

    JAMANI WADAU MWENYE KUJUA ADDRESS MPYA YA ZE UTAMU ANIPE, NIMEIMISS SAAAAAAAANA, SIIPATI SIKU HIZI, jamaa inaelekea wameshaibana kama kawaida yao

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 22, 2009

    Wanaume ndio zao, haswa wakiwa wamemckoka muhusika, haswa kwa majuu.

    Nakumbuka kuna kesi nyingine mwanaume alimuua mkewe wakati wa tendo la ndo, kufika mahakamani akajitia eti sikujua kama nilikuwa nimemuua, na wala sikujua kama nilikuwa namkaba, mi nilikuwa nimenogewa kupita kiasi, so sikujua kama nilivyokuwa namkandamiza kumbe nilikuwa namkaba!!! Jamani!!!

    Jamaa aliachiwa huru, hakupatikana na hatia.

    Mungu tunusuru viumbe vyako vya kike, isije ikawa ndo mtindo, kama uninichoka si uniambie tu bwana, kuliko kuniwahisha peponi?

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 22, 2009

    sana tu kaka anony wa may22 saa10:23 japo unaonekana unahasira kinoma kwa tendo alokufanyia x-gf wako hadi una wa mind wote lakini kwa kiasi fulani nakuunga mukono 99%.
    ukweli ni kwamba wasichana(sijui niseme wanawake weusi wa kitanzania) wa kitanzania wanatabia ya KUPAPATIKIA wanaume wa nchi yeyote ile ilimradi tu si mtanzania. nimejaribu kutafiti nikagundua kuwa huenda hii inatokana labda na ukweli kwamba wanahisi wanaume wa mataifa mengine wako bomba kifedha kumbe wengine ni wachovu na washamba tena hata ubinadamu wakati mwingine hawana. utakuta wasichana wa mataifa mengine akimkuta mtu wa taifa lake basi first priority ya uhusiano na uaminifu atafanya na mtu wa taifa lake,kama hayupo ndipo mtu wa taifa jingine atafuatia. lakini nenda kwa wanawake wa kitanzania utacheka hadi ufe!! yaani hata akisikia huyu ni mpopo basi kazimia head over heels, we jaribu mfano kutongoza mtoto wa kiarabu au kihindi itakuchukuwa muda tena kwa mbinde! lakini mwambie muhindi,mwarabu,au mzungu hata mchina akamtongoze msichana wa ki tz mweusi uone hata dakika mbili hazipiti huyoo anaye,kisha ataanza kujisifu basi hapo hata home hakawii kumfikisha na kumtambulisha kesho yake tu hata kama jamaa hana nia ya kuowa. tena hapo atakuwa mwaminifu kinoma hata cheat. ila kanae wewe mbongo mweusi wa ki tz uone!vituko kila kona.
    kisha wengine hupenda hata kuwa easy going kwa majamaa wa nchi zingine wakitegemea kuwa wanaweza kuolewa wapelekwe waka-make life huko! ila wanasahau kuwa heshima ni nyumbani,mijamaa ikwachoka huwa hakuna hata ndugu wa karibu wa kumuonea haya kama vile shemeji,baba mkwe au mama mkwe ,huwa inawafurumusha kama mbwa wanabaki kung'aang'aa mijicho tu huku wamesha chuja! ndipo sasa wengine hurudi kuja tz na kuishi bila hata kuolewa
    fungukeni mimacho yenu enyi mademu vichwa vya panzi,tambueni kuwa heshima ni nyumbani kwanza,ambako zimwi likujualo halikuli likakwisha!ukimpata mtz jitahidi kuwa mwaminifu kwake msijifunze vijitabia vya kizungu vya kulewa mara 20 unaachika kwani wewe mbwa? wewe ni binadamu bwana
    pia muache kuendekeza umasikini,mizinga mingi ndio maana mnatafuta viliko wiva au sio?nyway kazi kwenu mkiamua kusuka suka ila majuto huwa ni mjukuu! sikuzote
    fagilia sana anony wa saa10:22 may22.

    ReplyDelete
  37. Amemuonea jamani!!
    Bora yeye aliyetaja jina la mtu kuliko wanaume wengine wako busy kukutukania mama yako.......ukimuuliza kulikoni,eti anasikia rahaaa ....utamu!

    ReplyDelete
  38. AnonymousMay 26, 2009

    Wewe mwanamke wa kwanza hapo juu uliyotoa maoni….Wewe unamapungufu ya ustaarabu na mapungufu ya heshima na mapungufu ya ukarimu…..Huyo mwanaume wako anakupenda ndio maana anaweza kuvumilia hayo yote….Hicho kinacho kusababisha umfanyie hivyo huyo mwanaume sidhani kama utaenda kupata mapenzi kama ya huyo kaka alivyokuwa anakupenda….Kwanza hata kama huko unapopataka nako unapendwa ila Mwenyezi Mungu atakulaani kwa vitendo unavyovifanya usione sifa kusema hivyo….Kama haumtaki mtu muache kiwema bora hata ungeondoka hapo ulipo uende mbali na mawasiliano yasiwepo kuliko kufanya kitendo chakinyama hivyo. Je ingekuwa ni wewe unaumizwa roho hivyo ungejisikiaje…..Usimtendee mwenzio usivyopenda kutendewa…..

    Usingependwa ungelalamika unapendwa unafanyavitimbi..Loooh!

    Mimi ni mwanamke lakini nimeichukia tabia yako si nzuri kbsa….Kuna vitu vyakutangaza kwa watu lakini si hivyo…..Pleeez stop

    Natamani kama nikuone nikulipue bomu..........

    ReplyDelete
  39. AnonymousMay 26, 2009

    Mimi ni mwanamke lakini simpendelei huyo mwanamke mwenzangu kwasababu si vyema kutaja jina la mwingine wakati wa tendo la ndoa kwani inaonyesha jinsi gani umenogewa kwa mwingine hadi unapeleka hisia kwake ukiwa na mumewako. Hata kama unaiba jitahidi basi usijulikane. Ila sio vizuri uibe. Kwanini uibe utaleta magonjwa yasiyoeleweka nyumbani.... Fikiria familia yako familia nyingi zimeachwa mfano mmojawapo Bukoba, Burundi nyumba nyingi zipo na watoto tuu wakijilea wenywe, nyumba nzuri nzuri ukiuliza wazazi walikufa kwa Ukimwi hivyo tusione ufahari jamani kutoka nje ya ndoa zetu....Huyo baba ni wivu wa mapenzi umemsababishia hivyo na kuwa na mapenzi ya dhati kwa mkewe. Lakini japo inauma NAJUA INAUMA SAANA angejitahidi kumshinda shetani kuliko kufanya hivyo. Namuonea huruma sana baba huyu. Mungu amsaidie kesi yake iishe na amjalie apate mwingine ambaye ni Mwaminifu kwake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...