Bro Misupu,
pole na mihangaiko pamoja na jitihada za kututumikia sisi Wadau'z kwa moyo mkunjufu tena bila chembe ya Ufisadi kama wao (usiniulize akina nani).
Sasa Bro nitashukuru kama utanisaidia kunipatia jibu mujarabu manake Wanawake wanaotembea na waume za watu huitwa Vimada au Nyumba ndogo. Sasa Bro pamoja na wadau'z, mwanaume anayetembea na mke wa mtu anaitwaje?
Nitashkuru sana nikipatiwa ufumbuzi wa swali langu toka kwa wadau wa blogu ya jamii...
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kimdau cha Moscow.
P'se Jina na E-mail kapuni kama haitakuwia ngumu!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. MswahiliMay 31, 2009

    Very Simple..just weka opposite yake;

    KIMADA ~ LIMADA

    NYUMBA NDOGO ~ NYUMBA KUBWA.

    Hope habari ndo hiyo;)

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 31, 2009

    Anaitwa KIWEMBE!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 31, 2009

    anaitwa mchafuzi wa mazingira, hawa ndo wanosababisha global warming.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 31, 2009

    anaitwa FISADI mtoto kama joni mashaka

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 31, 2009

    anaitwa sura mbaya

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 31, 2009

    Anaitwa = MBUZI

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 31, 2009

    Simple anaitwa = ATM

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 31, 2009

    kidume cha mbegu

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 31, 2009

    Na wewe kama unatembea na wake za za watu shauri yako unaitwa jeneza.(subiri kuuliwa)

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 31, 2009

    KIMADA = KITOM*I

    NYUMBA NDOGO = BUZI

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 31, 2009

    mme wa kambo

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 31, 2009

    Simple, POPO BAWA!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 31, 2009

    wanaume kwa kujisifu! na wewe uliyeuliza swali utachinjwa kwa kuchukua wanawake za watu! subiri mke wako atakapopata ndio utapata jina!lol!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 31, 2009

    Anaitwa FASIDI

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 31, 2009

    anaitwa BAZAZI au TOM*ITOM*I
    au mchovyachovya.AU MHOYERI.au kibor* disa!au kilenga.
    NYUMBA NDOGO-MTWALI,bomba mbaya,punda kihongwe aka BUZI.AU MUOSHA kidonda, mfugaji.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 31, 2009

    Jibu kamili katika biblia anaitwa "MWASHERATI" kama atakuwa ameoa, na kama hajaoa anaitwa"MZINZI"
    Mdau USA

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 01, 2009

    Kimada, hapa nafikiri mwanamme lazima atakuwa ni buzi la vingunguti

    Nyumba ndogo kwa mwanamme ni of course ni ATM, kwani ulikuwa hulijui hilo.
    Wanaumme hujidai sana oh ile nyumba ndogo yangu, blah blah lakini wanawake wao husema unaona, ileee ATM yangu inakuja, na kweli ikifika jamaa anaingia mwenye nyumba ndogo anapumzika, akiondoka mamaa anaweka kwenye pochi mshiko wake alioutoa katika ATM, ngoma droo!!!!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 01, 2009

    Let me break this issue down,
    Anaitwa baba la uongo,njoka la zamani, kibaka mzoefu, baba la mataifa, bwana la ndoa za watu,upanga ukatao kuwili,baba la uharibifu,baba la wanaume wote,mwehu la wanamama,nyang'au,malaika wa zinaa aliyeshindikana huko juu,mendemende, (kipanga lubala,mfaume wa mashimo,pepo mavi.

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 01, 2009

    Anaitwa mhuni au malaya. Hayo majina mengine ni ya kumpa sifa wakati anachofanya ni umalaya.

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 01, 2009

    sijawahi ona ivi vituko

    hahahaaa ha ha ha aaaaaa kwi kwi

    yooote ayo yake

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 01, 2009

    Anaitwa ENGINEER..Yeye huwa anamrekebisha mwanamke sehemu zile zilizochoka choka, legea legea na kuhitaji KUKAZWA, ili awe sawa ajisikie kuwa ni mwanamke ikiwa yule Mume wake ameshindwa. ENGINEER huyu huwa anakila aina ya spare na OIL.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 02, 2009

    Duh... Ebwanaeeee!

    ReplyDelete
  23. Anaitwa Jibwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...