MABADILIKO YA ADDRESS YA FRIDAY MAY 22-KUSAKATA RUMBA SASA KUWA SESKA LOUNGE BADALA YA ZODIAC

Siku ndio zimekatika,sasa hivi tunahesabu saa kadhaa tu,ile siku ya siku ya Wabongo ku mingle pamoja na marafiki wa siku nyingi,kukutana na washikaji ambao hukutegemea kuwakuta kwenye hii,WABONGO REUNION sisi ni wabongo,tunao ongea lugha moja na tunaojivunia umoja wetu,wote kwa pamoja ndani ya kapitali,WASHINGTON DC.
karibuni,tufahamiane,tuzungumuze,tunong'onezane na hatimae tufurahi pamoja kwa musiki,michezo na kula nyama choma pamoja bila kusahau kale kanywaji bardi ile roho inapenda,sisi sote ni Watanzania,nchi tunayoipenda kwa moyo wote,huu ndio wakati uliokua unasubiri ufike,ili na wewe uwe mmoja wao ya wale watakaokua wa kwanza katika hii REUNION ya kwanza ya aina yake

ijumaa may 22 DENIM NIGHT kuanzia 3 usiku(9:00pm)mambo yataanzia SESKA LOUNGE-address ni
2017 Viers Mills Road
Rockville,Md 20851
LOCATED BEHIND THE SHOPPING CENTER OR DIALY QUEEN
Dress code:pamba yoyote mradi umependeza,
Jumamosi may 23 kuanzia saa 10 jioni(4:00Pm)mambo yataanzia FAIRLAND RECREATION PARK kwa Nyama choma,mpira wa mguu Houston stars v/s Bongo United fc na kufuatiwa na mechi kali ya kikapu,Pazi,Vijana na Don Bosco addrees ya park 3928 Green Castle Road,
Fairland,Md 20866 Baadae usiku kwenye FREE STYLE NIGHT kuanzia saa 4 usiku(10:00pm) THE HERITAGE-address ni
1337 Connecticut Ave,
Washington,Dc 20036
Dress code:vaa upendeze lakini club hairuhusu T-SHIRT au SNEAKERS
Jumapili may 24 kuanzia saa 10 jioni(4:00pm) mambo yote ni nyama choma na mpira wa miguu,wakina dada Dc v/s kina dada out state na wakipatikana wakina dada wengi watakao pendelea kucheza Netball mechi itachezwa siku hiyo ya jumapili address ya park
3928 Green Castle Road
Fairlnd,Md 20036 na baadae usiku kuanzia saa 4 usiku(10:00pm) WHITE PARTY NIGHT Zodiac Lounge Gaithersburg-address ni 654 Center Point Way Gaithersburg,Md 20877
Dress code:pamba nyeupe lakini si lazima
MA-DJ WATAKAOKURUSHA ROHO,NA KUKUPA ILE KITU NAFSI INAPENDA NI MUTOTO YA MUJINI DJ JOE"CAT DADDY" (W.K.Y.S.F.M.),MUTU YA PAMBA,DJ SEIF,MUTOTO YA JIRANI,DJ REDDIE NA MUKULU,THE MIX OLDSKOOL MASTER DJ LUKE.
Kwa taarifa zaidi bofya
au simu
240 411 2380,
301 300 2742,
240 715 2077

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2009

    ok 2meyapata mabidiliko yote lakini kichapo kutoka Houston ni palapale..siku hiyo nyama inaingia buchani na itarudi kuwa ng'ombe.
    aightttt
    mdau
    H-TAUN

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 21, 2009

    SASA TUELEWE VIPI KILA SIKU MNATUBADILISHIA STORY KWANINI KUMBI ZINABADILIKA

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 21, 2009

    kaka michu nasikia Mh Mwakyembe amepata ajali mbaya ya gari huko Iringa na amepelekwa hospitali, je hizi habari ni za kweli ?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 21, 2009

    Michuzi nakubali uko mapumziko.

    ReplyDelete
  5. WEWE HAPO JUU NI KWELI KAPATA AJALI ILA KATOLEWA IRINGA KALETWA MOI KWA UCHUNGUZI ZAIDI,KAKA MICHUZI HIZI HABARI HANA KWA SABABU YUKO DUNIANI UKO ILA TUMUOMBEE APONEE HARAKA MUNGU ATAMSAIDIA NI HAYO TU KAKA.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2009

    ...............ndio rahisi wa kwanza wa Kibantu kuonana na Mjaluo yule pale.



    sooooooooooooooooooooooo what!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    wakati mwingine tuwe tunajaribu kushupalia vitu vyenye tija.

    Hasa nyie waadnishi kujikomba kwingine kubaya

    ReplyDelete
  7. Mpemba Mfuata DiniMay 22, 2009

    Hahaa...
    Huyo jamaa GINFIZZ kasema Michuzi hajapata habari eti yuko duniani, kwani huko Tanzania ni wapi mbinguni?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2009

    YOOOOH YOOOOOH DC HERE I COME....A PARTY 2 C... WON"T MISS IT!!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2009

    We mpemba, huko Tz anapalinganisha na jehanamu, teheehehe.Anachekesha huyu Tz nchi nzuri Bwana.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2009

    WEWE MDAU HAPO JUU ACHA KUJIFANYA UNAJUA SANA.ANGEKUWA MWAI KIBAKI WA KWANZA KUKUTANA NA OBAMA UNGESEMA UBAMA ANAWAPENDELEA WAKENYA KWA VILE BABAKE KATOKA HUKO,LEO JK KAWA WA KWANZA KUKUTANA NA OBAMA UNASEMA SO WHAT? SO WHAT UR ASS.ACHA KUWA MNAFIKI BILA SABABU.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 23, 2009

    Salaam kwa ndugu zangu wabongo wote duniani,Ninafurahi sana kwa umoja wetu na upendo tulionao,Naaomba kama ikiwezekana muwe mnatoa taarifa mapema ili kama kuna wengine wabongo wanaokaa huku ugaibuni ambako huku niliko mimi sio wengi sana na hatuwezi hata kuunda timu ilitujipange kuweza kuja kukutana na wenzetu huko.Hii ni upande wangu mimi na familia yaani ingekuwa ni changa moto kwa familia yangu kuona kuwa sisi wa tz tunaupendo.Mimi ni mpenzi wa michezo hivyo nilivyoona kuwa kina dada wandekuwa wengi wangeunda team ya mpira wa pete imeni-touch.Hivyo wana Dc ningependa mtoe taarifa mapema kwa siku za usoni ili mola akijaalia tuje tujumuike huko.Kila la heri wana-Dc

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...