Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2009

    miraji nakuona.naona umeenda msalimia uncle.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2009

    Naona michuzi pamba umezitungua za nguvu na zinakupendeza sana, sijaona fulanazz tangu uje kiwanja! Kwahiyo upo DC sasa hivi au bado LA? Kula maisha ndugu yangu endelea kuvuta hewa safi.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2009

    dah! hii mialiko ya harusi ina kuharibu kaka, kibaraza kina anza kumwagika!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2009

    uko chumbani hotelini unasema ikulu(white house)...vipi mzee?

    ReplyDelete
  5. Mdau mbongoMay 22, 2009

    acheni sifa, hewa safi itakuwa marekani? Au mnaona kila mtu alie Tz hajafika huko, nchi full pollution eti unasema hewa safi! si bora angekuwa hata ameenda visiwa vya maldives ndo tuseme ameenda kula hewa safi! OVYOOOOOOOOOOOOO!!

    ReplyDelete
  6. Kaka misoup umependeza sana ila utaratibu ukoje uko mbona sisi tuliwaruhusu wandishi wake wote kwenda nyubma nyeupe ya kwetu ila wao kaka kachwa getini hii noma akija tena na sisi tunawazuia kupanda kupanda kuta za ikulu yetu walizichafua.teteteeeeeeeeeeeh

    ReplyDelete
  7. Kaka michuzi, did you mean White house?, mbona naona kama mmekaa kitandani? au mlifichwa chumbani?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2009

    kaka michu state kuzuri siku nne, tano naona fridge limetoka kumbe huwa kipo au bongo jua linakimeza just jokesssss jamani.

    ReplyDelete
  9. Alban MshambaMay 22, 2009

    Mh. Mkuu wa wilaya ya nanihii karibu na huku kwetu OHIO uje upige boksi japo kwa siku mbili tatu, kwani una haraka ya kurudi bongo?? Nitakupa namba yangu ya social ufanyie kazi kwani najua visa uliyopewa ni ya miezi sita.
    Njoo tumshabikie Ali Kiba ndani ya nyumba week-end hii tuko nae kuanzia ijumaa mpaka ijumaa ijayo.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2009

    Naona mkuu wa nanihii unashabikiwa hata kuliko bosi wako

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2009

    nyumba nyeupe= hiyo bedroom na ao vijana

    anyway

    ReplyDelete
  12. Michu vumilia tu ndugu yangu maana "mabaunsa" wengine wakali kweli hata uwaambie nimesahau kadi hawasikii cha mtu, kwahiyo umeishia nje tu! Hata hivyo tunashukuru kwa kutupasha hizo nyepesinyepesi unazoibiaibia,kaza buti!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2009

    Staford suruali na shati lako la Ilboru bado unalo, he jamani miaka yote hii bado hujabadilisha nguo zingine, au ndio UGUMU WA MAISHA

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 22, 2009

    Hebu usitudanganye wewe kaka Michuzi….. jamani mbona hapo ni kama chumbani mpo katika kitanda!!!.
    Unatufanya maboya sio???

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 22, 2009

    misupuu anza mazoezi maana kifriji kimetoka hasa..

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 22, 2009

    Hapo wakina michuzi wako kwenye chumba cha Mbwa wa Obama wanasema wako white house!!!TEH TEH TEH

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 22, 2009

    aah jamani mbona mpo bedirumu afu mnasema nyumba nyeupe - michu michu tafadhali

    ReplyDelete
  18. Vakasheni.... nilifikri umekuja kivyako, kumbe naweupo ktk msafara wa rais JK.Mmmmmmmmmm, tutashindwa kukualika kwani lazima ufuate ratiba ya JK. Have fun on your stay though.

    ReplyDelete
  19. michuziiii,
    Libenekezzz sioni ??
    viatuzzzz sioni ?
    naona Mikonozzzz
    Na Fulanazzz
    na hao sijui Special Agent au
    homeland Security ???

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 22, 2009

    Ila Braza Michu fanyia kazi hicho kifriji, utachukiza sasa hivi ohoooooo!

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 22, 2009

    oyaa kaka mımı sına maonı yoyote kuhusu hulı sema nakukumbusha tu balozı mbona umenıbanıa hıle post yangu nılıo kutumıa ya faınalı ya uefa?

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 22, 2009

    kaka miraji naona unatuwakilisha wazaramu hapo pamoja na wakwele pia hiyo babu kubwa hata hiweje ndiyo imekuwa tuuu...!!!!! H TOWN KAMA KAWA SIYO...BADO UPO JUU

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 22, 2009

    hii komesha...
    chumba cha white house kama cha prof maji marefu!

    kweli tembeaa uone!

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 22, 2009

    Tuache utani na masihara, hiyo pamba ni ya nguvu michu. me naomba tu unitumie fulanaz nikunyang'anye wadau wote wa humu.

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 22, 2009

    MTAZAMO WANGU MMEKAA CHUMBANI TENA WANAUME TUPU HII INAMAANISHA NINI? AU NDIO IMEPITISHWA SIRI YENU YETU MACHO.

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 22, 2009

    Kaka Mkuu

    Imekuwaje tena "pamba" la leo ni lile la kutungua na mti kariakoo?
    Limetulia lakini halijapakata vizuri hilo nanihii la "ugali wa siagi",sifikirii kama huko kwa Obama"nanihii"ni mtindo wa heshima ya mkuu.
    Endelea na Vakesheeeeni yako mkuu!

    mickey@mail-online.dk
    Denmark

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 22, 2009

    Kaka Michuzi pitia basi Newyork maana majiko yamenuna. Utuchangamshe tuko baridi kama maji ya freezer. Newyork ya zamani OYEEEE!!!!!! FAGILIAAAA!!!!!

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 22, 2009

    Mkongwe, mkurugenzi wa SAVANNAH TAX service anakumind umemuacha safari DC...Last time mmlikuwa wote...

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 22, 2009

    Mtatueleza Midume tupu chumba kimoja mnafanya nini?

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 22, 2009

    Michuzi wambie jamaa wakurushie dili moja la Kupiga-BOX kabla hujarudi ununue kasimu kaCamera. Wezako wametoka kupiga BOX hapo.

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 22, 2009

    http://www.flickr.com/photos/whitehouse/3551941309/
    http://www.whitehouse.gov/the_press_office/Readout-on-President-Obamas-Meeting-with-President-Kikwete-of-Tanzania/

    Habari yako bwana Nanihii
    Bila shaka u mzima sana na bado unaendelea vzuri na vekesheni yako.

    Nilikuwa natembelea leo hii site ya Whitehouse nikakutana na habari hii,baadaye nikaja kweny blogu yako nikaona kumbe ni kweli kikwete alikuwapo Ikulu leo.
    Ila kwa nini hukututonya mapema.
    Mdau wa Ujerumani.
    P.S:Nanihii naomba email na majina yangu yawe siri yako.
    Asante

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 23, 2009

    Again,
    Am not in America,never have been and probably never will.

    Huyo mpumbavu anayejiita "mrekebishaji" namsikitikia sana.Ilibidi aende shule kabla hajaja huko Marekani kupiga box.Over all office,what a shame mrekebishaji??????
    Watu kama wewe huku Gezaulole huwa tunawachinjia baharini ili mkanyonywe ulimi na samaki.Pumbaf!!!!!!!

    Ndimi Mkulima wa kijijini Gezaulole.

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 23, 2009

    chumba cha hotel, a nice hotel too. na hao vijana ni ma-super star wa washington DC...Dj Luke to the fullest! ila michu ki-fridge kimetokeza ghafla bin vuuu, kulikoni? au ndo mambo ya Buffet za wahindi!

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 23, 2009

    huyo kulia mwisho ni ndugu yake kikwete mbona kama wako sawa???????????????????????? Na wewe anno wa hapo juu kuweka email ndo nini unauza au acha ushambaga.

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 23, 2009

    "Mkongwe, mkurugenzi wa SAVANNAH TAX service anakumind umemuacha safari DC...Last time mmlikuwa wote..."

    Sasa Onesmo Fue wa SAVANNAH TAX service anamind nini. Yeye aende DC kufanya nini wakati kila siku kazi yake kuiponda ccm na serikali.

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 23, 2009

    Kaka Miraji nakuona Mkongwe, Bagamoyo hiyo,Mtoto wa mjini, uko na kaka Kikwete, najua mambo yako powa na juuu. Mwinyi Mpeku.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...