Mkali wa miondoko ya Dance hall kutoka nchini Marekani Beenie Man (kulia) akila pozi na Michuzi Jnr. katika hoteli ya collesium mara baada ya kutua jana Dar na kufanya onesho lake moja tu usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya chuo cha posta maeneo ya kijitonyama. onyesho hilo liliandaliwa na kampuni ya Entertainment Masters na kudhaminiwa na kampuni ya sigara ya TCC kupitia chapa yake ya muziki ya Str8 Muzik.
Kwa picha zaidi za ujio wa Beenie Man

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 28, 2009

    Duuuuh Jamaa kwa Pombe sio mchezo yaani nakumbuka mwaka 2000 alikuja Tanzania alifikia katika Hotel ya Sheraton yaani kila muda alikuwa na chupa au Glass ya pombe mkononi kuanzia asubuhi mpaka jioni! Nadhani muda pekee ambapo hanywi ni wakati wa kulala tu tembelea hiyo link uone vimbwanga
    http://michuzijr.blogspot.com/2009/06/beenie-man-atua-bongo-jioni-hii-na.html

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 28, 2009

    Mzee Michuzi correction ndogo ni kwamba Beenie Man siyo Mmarekani,yeye ni true-born Jamaican na anaishi jamaica ila amefanya collaboration nyingi na wamarekani.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 30, 2009

    oyaa inaonekana mr ben hatosahau kama atavuta msuba mkali kama alioupata bongo yaani mpaka macho hayafunguki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...