Mdau Pius Mikongoti (tatu shoto) wa P-Informatics (T) Ltd, akila pozi baada ya kusaini mkataba wa makubaliano na Kampuni ya Extol SDN BHD huko nchini Malaysia hivi majuzi.
Extol ni kampuni kubwa ya IT nchini Malaysia ambapo watafungua tawi nchini Tanzania likiwa na lengo la kuboresha huduma za IT kwa Tanzania na Africa ya Mashariki kwa ujumla kwa kushirikiana na P-Informatics (T) Ltd.
Wengine kwenye picha ni Charles Becon CEO wa P-Informatics, na Evans Rweikiza Mkurugenzi wa Tanzania Private Sector Foundation pamoja na Uongozi wa Juu wa Extol. Kwa habari zaidi bofya hapa
BIG UP MLONGO LETS KEEP ON TWEETING USICHUNE
ReplyDeleteHaya ndio mambo tunayotaka nafikiri sasa utaachana na kukimbia kimbia na Azam. Hongera sana kiongozi.
ReplyDeleteTumekusomesha kwa kodi zetu mrudi kuja kulitumiakia taifa.
ReplyDeleteKidumu Chama Cha Mapinduzi.