hawa ndio ma diva wanaotamba katika anga za nyimbo za gospo nchini. toka shoto ni christina mwang'onda, jennifer mgendi, mh. martha mlata, upendo mkone na upendo kilahilo walipokutana katika hafla moja jijini dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ili kuonesha upendo wa dhati kati ya ma "divas in Jesus" tunaomba watoe single au album yao wakiwa wameimba pamoja. Isiishie kupiga picha. Amen?

    Mdau
    Cardiff

    ReplyDelete
  2. Wote hao wako fiti sana nawapenda mno

    ReplyDelete
  3. Where is Rose Mhando?

    ReplyDelete
  4. mungu awabariki sana kina mama mko mbele kuendeleza amani hapa duniani

    ReplyDelete
  5. Well done ladies....Mungu awabariki sana....I love you all.

    ReplyDelete
  6. Mbona wote ni vibonge(Obese)? fanyeni mazoezi dada zangu ni muhimu kwa afya zenu.

    ReplyDelete
  7. Diva au madiva ndiyo akina nani? Neno diva linamaanisha nini jamani? Maana siku hizi msamiati mwingine hatuelewi

    ReplyDelete
  8. kwanini waitwe madiva au diva? nadhani tusipotoshe maana ya neno diva ni vema tuzingatie maana hata kama neno ni tamu sana tuangalie mazingira ya kulitumia waungwana

    ReplyDelete
  9. where is christina shusho yule aliyeimba MTETEZI WANGU YESU?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...