Home
Unlabelled
kutana na mzee makassy
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MAKASI SIO MCHEZO MZEE MAKASI NAKUMBUKA ZAMANI WAKATI NDIO NAANZA KUPATA AKILI YA KISIKIA MUSIC KWENYE RADIO TANZANIA DAR ES SALAAM RTD MAMBO YALIKUWA MAKASI REMMY KWA KWELI GOD BLESS MAKASI ANAFAA KUKUMBUKWA SANA. HONGERA MAKASI
ReplyDeleteKweli nasikitika mtoto anapozaliwa,
ReplyDeleteAnakuja pata tabu za duniani,
Njaa nyingi magonjwa mengi
Surua, kuhara, homakali eeeeaaahh ohoooo eeeeiih eeeahhhh!!!
Ukimzungumzia makasi nakumbuka enzi za kipindi cha "ombi lako" cha RTD ilikuwa miziki inayosikika ndio hii tu ukitaka ya kizungu lazima usubirie jioni kwenye "idhaa ya biashara au jumapili at 1330 hrs external service!!!!!
Mweee enzi za mwalimu wote tulikuwa tunasikiliza kitu kimoja tu!!
"Mambo bado mambo bado, mambo bado.
ReplyDeleteMakasi toka toka Kinondoni ee, mambo bado
Makasi toka toka Daisalame, mambo bado....yabisose malembe mambo bado".
Wacha bwana mambo yanakwenda yanabadirika. Siku hizi tuko upande mwingineeeee! tunainjoi mambo kwa Yesu
MZEE MAKASSY !SIO MWANAMZIKI WA MWANZO WA KIKONGO KUINGIA NCHINI ENZI ZA UTAWALA WA MWALIMU!
ReplyDeleteMWANAMZIKI WA MWANZO ALIKUWA "Cosmass Papa Micky" (kalonda Lunganga) aliyekuwa mmiliki wa bendi ya Orch.Nova Sucess enzi zile katika makao yake ktk Bar ya TOP LIFE.
Papa Micky ndiye alikuja na mwanamziki Marehem Joseph Lusungu,ambaye aliwapa NUTA JAZZ kama zawadi hili mziki wa dansi nchini uendelee.
Baadaye bendi za Orch.Nkashama Nkoy,Santa fe,zote zilipita njia,baadaye ndio bendi za Orch.Baba Gaston hiliyoukuwa inamilikiwa na mwanamziki Baba Gaston Ilunga wa Ilunga hilikuja,na wakati huo huo Mzee Makassy nae alikuja,na bendi yake akitokea Uganda sio moja kwa moja Kongo.lakini wakati hule kulikuwa na ushindani katika fani ya mziki.
Lakini MZEE MAKASSY anaheshimika katika mziki adi leo na ni GWIJI.
Mzee Makassy enzi ya ujana wake alikuwa mwanamziki wa JOHN BOKELO ISENGE
kwa wale wapenzi wa muziki wa dansi kama mimi huyu bwana tulikuwa tuanmuita profesa.....profesa makassy upo wapi???ingawa sijapata kusikiliza gospel muda ila nitatafuta nyimbo zako za gospel profesa...maana ukiwepo wewe hakiharibiki kitu.
ReplyDeleteNi wachache waliopata Neema kama ya huyu Mzee ya kujikana nafsi na kumrudia Mungu wao na kumuabudu kabla hawajaurudia udongo walimotwaliwa. Uzidi kubarikiwa Mzee wetu mpaka siku Mungu atakapokutwaa. Utaimaliza safari salama Mtumishi na wala usikate tamaa. Ingawa ni wengi watajaribu kukukatisha tamaa wakisema ooh umefulia n.k. Kufulia ni duniani tu lakini Mbinguni utakuwa ni mkubwa zaidi ya Bilionea.
ReplyDeleteJAMANI KULIKUWA NA BENDI MOJA IKIITWA BANA NGENGE NA MWIIMBAJI MTOTO KIJANA ENZI HIZI AKIITWA FATAKI, KUNA MTU YOYOTE ANAJUWA FATAKI YUKO WAPI NI WA-KONGO WALIKUWA
ReplyDelete..kintozegwu..jina lake la biblia limekua nani?..
ReplyDeletekwa Anony: sept 16, 10:56PM
ReplyDeleteMWANAMZIKI FATAKI WA BENDI YA BANANGENGE ALIKUFA 11/12/2006 NA KUZIKWA 13/12/2006 MJINI Dar-es-salaam.
Kweli ilikuwapo bendi za Orch.Banangenge na marehemu Fataki Lokassa aka Fataki "Masumbuko mingi ya dunia" alikuwa anaongoza safu ya mbele ya waimbaji,na unenguaji wake akiwa na kibatali kichwani!1976 mpaka 1978,Banange ikafia Kena na Fataki akajiunga na Les Kinois mjini Nairobi akiwa pamoja na Samba Mapangala,baadaye 1981 Samba na Fataki na wengineo wakaizaa Virunga Band.
Lakini Fataki alifia Dar 11/12/2006 hizo ndizo taarifa za uhakika.
wadau
FFU
Leo mzee Makasi amepewa udaktari wa heshima...ni Dr Makasi
ReplyDelete