Welcome to Tasia Investments Company LTD the TANZANIA Number 1 supplier of logo branded USB Flash Drives and USB Cards.

From the smallest organization to the largest multinationals, TASIA caters for all USB Flash Drive requirements, offering unbeatable prices coupled with fast and efficient service. We sell a wide range of memory capacities and offer customers a variety of logo branding options.

For more information on our product range and how to order please send your request on: info@nyenyegroup.com

THANKS

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. TASIA imeomba rights za logo ya 'the world's local bank' aka HSBC ( Hong Kong Shanghai Banking Corporation) ? au mnafanya kienyeji? Maana LOGO zingine mkienda kienyeji mwaweza kufilisiwa na vyombo vya sheria.

    Mdau
    Chakumwenda

    ReplyDelete
  2. Mdau Chakumwenda ume-comment jambo la maana sana.Comment yangu hapa chini itakuwa na busara IWAPO TASIA hawajafuatilia yafuatayo:
    Sidhani kama mdau (TASIA) anaelewa mambo ya copyright infringments au patents rights kabisa. Brand alizozi-label kwenye flash disks zake sidhani kama amepata kibali kutoka kwa wenye brand hizo. Iwapo flash disks hizo zitakuwa na low quality au hata feki basi wenye brand hizo hawatopenda kuona label zao katika flash disks hizo.Nadhani legal secretary/CEO wa TASIA anahitaji kufuatilia hilo.

    ReplyDelete
  3. Asanteni sana kwa maoni na mawazo yenu, Kwa ufupi hayo yote tumezingatia na hao ni baathi ya wateja wetu waliotumia huduma zetu nje ya Tanzania.

    ReplyDelete
  4. Wabongo hacheni kuchonga, hizo picha za hsbc na itv ktk hizo usb's ni kuonesha moja wa client wao, na nyie kama mkitaka mfano kampuni ya Zain tanzania wakitaka nao wata order na watakuwa na usbs zenye mfano kama uliopo hapo juu (kuwa na logo yenye jina la kampuni yao i.e. zain) na SIO kwamba wao wanaziuza usb's zenye logo za hsbc au itv, hope somo lime eleweka.

    Akili ni nywele kila mtu ana zake.

    Kazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  5. Sioni ubaya wowote kuonesha izo logo kwani wanatangaza biashara za hao wenye logo kwa bei ya BURE. isipokuwa nisameheni kama nikisema hawa jamaa ni waongo na kwambo hawajadesign logo hizo kwa hayo makampuni yenye logo.

    Cha pili je ni jinsi gani utamuamini mtu akutengezee logo wakati yeye mwenyewe kashindwa hata kutengeza hio site yake ili aonesha bizaa alizotengeneza yeye mwenyewe?

    Kama web haijakamilika hata kidooogo kwanini uishee in public? sijui wabongo tuna tabu gani aaaarrr, tunapenda mambo ya kizima moto sana yaani lipualipua manake.

    ReplyDelete
  6. kwanini siku zote tunachonga ktk issue anazo anzisha mbongo mwenzetu?

    Hacheni hizo wabongo, hawa ndugu wanajaribu, na nyie jaribuni na sio kuwakatisha tamaa. wote tuangaika ili mradi maisha yaende, wewe fanya kazi, mimi nifanye kazi, wao waache wafanye kazi kuinua uchumi wa Taifa letu na sio story za dizaini hizo.

    Nchi za wenzetu siku zote wanapeana moyo ktk kila kitu na sio kurudishana nyuma... Je tutafika? Je kwa nini tuna negative mind? lets pls stop this!!

    Mdau Vancouver.

    ReplyDelete
  7. wabongo hamtaki kuambiwa ukweli, did you see anything on www.nyenyegroup.com? do you really believe they made logos for national Geographic? them guys know they are misreprenting and that is why they are having none of this dicussion

    ReplyDelete
  8. Nakubaliana na maneno yako mdau Vancouver, Wabong wivuuuuu kuona mtu anataka kujikwamua kwa umasikini, Angekuwa muhindi au muharabu or mtasha wasingechonga.

    Acheni wivu, kwani mmeambiwa nyenyegroup ndo inaprovide hizo service au Tasia? Watu wangapi wanatumia yahoo email, kwani yahoo ndo web-site yao?

    Acheni majungu and Think Big

    Big up Tasia, I love the idea and i will support you

    Mtanzania

    ReplyDelete
  9. We anony wa Sat Sep 05, 12:59:00 PM huo ndio uswahili sasa kwanini utumie Yahoo email zinazotumiwa hata na matepeli wa kinaijeria ktk biasha zako ili hali una website, siku hizi kila mahost wengi wa web wanatoa pia email za buree sasa why not use them. kama unasindwa kumuambia ndg yako ukweli pale anappochemsha basi unatkuwa humtakii mema. Kwa wale tunaokosoa hapa sio kama hatutaki hawa wandugu wafanikiwe isipokuwa tunakosoa ili wafanye vizuri zaidi ili wafanikiwe zaidi na zaidi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...