Kaka Michuzi,
nipo huku Swaziland na jana na leo tulikuwa tunashuhudia ngoma yenye mvuto wa kipekee kwa jamii ya Waswazi ya Reed Dance, ni tukio ambalo ufanyika kila mwaka mara moja katika kipindi kama hiki.
Ngoma hii inawahusisha wasichana wenye umri kuanzia miaka mitano mpaka 25, kipindi ambacho King Mswati upata fursa ya kupata mke mwengine. Kwa sasa ni mwaka wa tatu hajachagua mke wa kuona kutoka katika utaraibu wa kumpata kupitia ngoma hii,!
Kwa kweli Waswazi wanatumia kipindi hiki kama sehemu ya kupata mapato ya utalii kwa nchi yao kwani watu wa mataifa mbalimbali wamekuja hasa jamaa zetu kutoka China ndio wengi, Muhimu ninalojifunza kuwa hawa Wachina pamoja na kuja kama watalii lakini wamekwisha pata dili za kufanya kutokana na ngoma hii. naleta picha hizi chache nilipiga jana na za leo nitawatumia baadaye
Mdau wa muda hapa Swaziland
Its called "the Reed Dance" or "Umhlanga".
ReplyDeleteDuh!
ReplyDeleteKaka lakini we si umefunga Ramadhani wewe lakini?
Duh! Huku mwenzenu mi ningebaka, sio siri. Mweeeh!
Mkuu wa wilaya ya nani hii...,ashkumu si matusi hata kama huko kwao wanatembea vifua wazi hapa kwenye blog ya jamii ungewasitiri maana wanawake wa kiTz hatutembei vifua wazi! Tanguliza heshima mbele kama tai.
ReplyDeleteNdugu Mkware: Kufunga is in the mind. Ukiamua no picture or visual of anything can make you deviate. kufunga about self control. Yani hata angekuwepo mbele yako- kama umeamua, umeamua.
ReplyDeletekila dem anataka aolewe na fisadi mswati kazi kweli kweli
ReplyDeleteMkuu wa Wilaya ya nani hiii
ReplyDeleteAstaghafirullah, wenzio tumefunga shekhe!!, ama ndio leo unafuturisha?????????
SISI WATANZANIA HATUNA UTAMADUNI HIVYO HUBAKI TUKIYOYOMA KUWA HALI HII SI UTAMADUNI WA MWAFRIKA! LAKINI CHA AJABU HAPAHAPA WAPO WATU MAISHA YAO YOTE HUKO VIJIJINI NI KAMA HAWA TUNAOWAONA KWENYE PICHA HIZI.
ReplyDeleteHAYA MAMBO YA KUVAA NGUO NA KUJIHISI TUU WATUPU YALIKUJA BAADA YA MWANADAMU KUKIUKA MASHARTI YA MUNGU JUU YA TUNDA LA MTI WA KATIKATI INAWEZEKANA NI MIKASI
ReplyDeleteAnadhalilisha akina mama nisimwone BONGo. Nao kwa nini wanakubaliana na hali hii.
ReplyDeleteDuh mimi naona sasa nitahamia uswazi watoto sio mchezo vitu natural hehehe
ReplyDeleteHizi ni miongoni mwa culture za kipumbavu tulizobaki nazo waafrika,Kama Mfalme wewe ndiyo unatakiwa kutowa muongozo kwa jamii ili ipate kustaarabika,sasa wewe myenyewe umalaya pamoja na upenzi wa ngono unaushabikia,unategemea jamii itaokoka kweli?na huo ukimwi tutauepuka vipi kwa mwendo huu?amkeni nyinyi waswazi na uzembe wenu
ReplyDeleteJamani huu ni udhalilishwaji wa wanawake. Si haki hivi hata kama ni tamaduni zao. Hawa wanawake wa huko hawajajua thamani yao na haki zao bado.
ReplyDeleteIweje mtu mmoja hata kama ni mfalme aoe wake wote hao je anawezaje kuwatimizia mahitaji ya kimwili kila mmoja?
Hapo siondio kuambukizana magonjwa mbali mbali. Sababu nahakika hataweza kuwatimizia wote kila mmoja anapokuwa anahitaji kutumiziwa hamu yake ya kimwili.
Huyu anawachezea chezea tuu ilimradi apate kitu kipya akiharibu halafu basi. Si vyema kabisaaaaaa.
Analaana huyu. Ameshazoea kuvunja tu bikira za watu ajue kesho kwa Mungu ataenda kudaiwa.
Niutamaduni wetu,lakini mi naona unamzalilisha mwanamke,sijui wanawake na wao wanasemaje, lakini watasemaje wakati wanashiriki mashindano ya umiss, hayana tofauti na haya, ila kwasababu haya ni kutafuta mke wakati ya-umiss ni kutafuta pesa na umaarufu.
ReplyDeletehaki ya nani vile,nala kwa macho
ReplyDeletewal'ahiiii
duh hii nchi hakuna rijali nini?amani amani kiivi kwa totozzz like this?
yan najichanga lazima nizuke mwakani apo
Mbona wote ni weupe weupe tuuu hawa?
ReplyDelete- kumbe ndo ngoma inavokwitwa? mmnh, 'umshanga' kweli!. Sasa sijui 'uchanga' wa vigori ama ni hizo 'shanga' za kiunoni!?..
ReplyDeleteTotoz nzuri sanaaaa,natural beauty kabisa
ReplyDeleteMdau birmingham, UK
....Apes to Humans(Charles darwin)...just a glimpse of Evolution...halafu wakituita masokwe/nyani tuna lalama
ReplyDeletemtalaam basi ishia hapohapo utaniua!! mara mojamoja michuzi huwa ananikumbuka na mie kwa kuniwekea kitoweo, lakini Hichi cha leo ni zaidi jamani. leo ni pajazzz na matitizzzzz!!! Pheeeeeeew lol!!! dunia hii!!
ReplyDeleteahsante sana mdau mungu akulinde na akuzidishie nguvu uweze kuongeza picha kama hizi hasa zile hothot.
ila ni swali la muhimu. kwa mfano hii event ikinikuta nami nipo hapo, availability ya hizi totozzz inakuwaje?? are they reachable and downloadable?? au ndo hata nikipoteza pesa yangu kuja nitaishia kula kwa macho ka sasa hivi??
Mdau wa Pajazzzzzz
Hivi kweli hao wote ni mabikra !!! MHH..Manake huku kwetu Bongo ukisema uite wasichana wote mabikra utapata wa kuanzia miaka 11 kushuka chini tu!!
ReplyDeletemichuzi unazikwaza swaumu zetu.astagh-fululhai.
ReplyDeleteDuh, Kama Soft porn Vile...
ReplyDeleteKasheshe kweli kweli.... sasa mfalme anachagua mke kwa kuangalia matiti tu bila kuangalia makalio na k@#u%%$m#$$*&^u^%$au huwa anazijaribu kwanza akiona inafaa anamchukua? hebu tupe habari zaidi nanihiii.
ReplyDeleteNipatie data za ukimwi hapo Swaziland tafadhali
ReplyDeleteKaka michuzi hii kwa mtazamo wangu ni kama vile haikupaswa kurushwa ktk blog ya jamii, kama vile iko kinyume na utamaduni wa kitanzania!! Ni mtazamo tuu!!
ReplyDeleteDu! makubwa, maana madogo yana nafuu. sasa mtu anatembea hivyo then mwisho wa siku inakula kwa jirani. china hata la kuchema kwakweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteDu! naona hapo mikonoz hairuhusiwi, manake ingekuwa inaruhusiwa basi ingekuwa balaa na maembe dodo pamoja na matikiti maji hayo
ReplyDeleteDUH ME HAPA NIMESHALOWA ILE MBAYA NA RAMADHAN NIMESHAFUNGULIA HAPA,, MKUU WA NANIHII WEWE SI UMEFUNGA LKN..?????????????
ReplyDeleteMi pia nakubali, wanawake tunadhalilishwa sana Swazi. Huku si kuvutia utalii ni kuvutia ukimwi jama, Mungu anusuru umma wetu.
ReplyDeletemfalme mswati wewe ni polygamist number one hapa duniani you will go to the hell
ReplyDeleteJAMANI ANARUHUSIWA KUCHAGUA WANGAPI WADAU NISAIDIENI SABABU MIMI NINGESHIDWA NICHUKUE YUPI NIACHE YUPI.
ReplyDeleteMmmm!! Hizi mila nyingine ni za ajabu. Kaka Michu, huko Uislam uko kweli??
ReplyDeleteBabu yake Mfalme Mswati jina lake Mfalme Sobhuza. Mswati alikatisha masomo yake Uingereza na kurithishwa ufalme akiwa na miaka 18 toka kwa Babu yake Mfalme Sobhuza.
ReplyDeletePamoja na Mfalme Mswati kusomeshwa Uingereza bado anajali mila na utamaduni, cheki picha hizo. Chezi 'wazee' wa 'LIKOKO' walivyomzunguka na vikolomwezo kibao, hapo 'hakiharibiki kitu' jaribu kama 'hujabigwa jin...'
Babu wa Mfalme Mswati, Marehemu Mfalme Sobhuza alioa mke toka kila wilaya (tarafa) ya Swaziland MUHIMU ikiwa kuleta UMOJA, sio Wilaya moja tu ijidai ndiyo iliyo karibu na Ufalme.
Hivyo Huyu Mfalme Mswati anaendeleza UMOJA wa NCHI yake kwa kuwa SHEMEJI wa kila wilaya ya Swaziland.
Pongezi kwa Mfalme Mswati kutimiza UMOJA wa NCHI kwa kuongeza MKE kila mwaka toka wilaya tofauti ktk nchi ya Swaziland.
Mila na tamaduni hizi wa kuimarisha UDUGU nchi nzima lazima zithaminiwe na kuheshimiwa nia ikiwa ni UMOJA.
Ahsanteni 'wazee' wa 'likoko' kumwonyesha njia Mfalme kijana Mswati.
Mdau
Kufakunoga Lodilofa.
Swaaaaaaaaaaafiii sana angalau na sisi tumepata kuona Miss Swazilanda siku zote mwatuletea mamiss wa kiulaya ulaya tuuu!
ReplyDeleteUtamaduni wa kitanzania ni upi? nielewesheni jamani kwa sababu tumesikia mara nyingi hapa hapa bloguni wadau wakitetea u-miss tanzania ambapo hutembea na vichupi jukwaani kwamba tunakwenda na wakati!!! kuna tofauti gani kati ya u-miss na hii ngoma ya mfalme? kwa maoni yangu Tanzania ni nchi mojawapo iliyochanganyikiwa, HAINA UTAMADUNI, kwa hiyo ninapendekeza tuige na hii ngoma. tuchague siku moja ambapo na mabinti kutoka vijijini watapata nafasi ya kuonyesha majaliwa yao badala ya ubaguzi unaofanywa sasa kupitia u-miss TZ.
ReplyDeleteJamani wadau mnaosema ni kinyume na utamaduni wa mtanzania, ni upi huo? hivi kuna anayeweza kusema kuwa utamaduni wa mtanzania ni huu?
ReplyDeleteNi kipi kilichobaki kama cha kitanzania katika enzi hii ya utandawazi?
halafu wale wanaomponda Mswati, mi nadhani kama ni kufata utamaduni wa nchi yao yeye ameonyesha njia. Kwa nini tulazimishe kufata utamaduni wa kimangaribi ambao unakinzana na utamaduni wetu?
kwani lazima tuwaige? Bravo Mswati. Naungana na wadau ambao watafunga safari mwakani!
kaka kwa kuheshimu Ramadhani na kwa tabia zetu hapo bongo ungeweka waficho kidogo kwenye maziwa ya kina hao dada kwani hata nchi za nje pia wao uficha. Ramadhani karimu.
ReplyDeleteNyie mnayojifanya mmestaarabika na kuona hao akina mama wanadhalilishwa basi ninyi ndo hamna ustaarabu na wala hamna utamanduni,nyote ni malimbukeni tu.
ReplyDeleteKuvaa kama maninja ndo ustaarabu kwenu!! au kuvaa vimini!!Hao wazungu wenu mnaowaiga ustaarabu wao mbona wao maziwa na nyeti zao njenje tu, mbona wanapiga picha za utupu na hata kucheza filamu za ngono ambazo ziko accessible kila sehemu!!
Bora hawa wasutu wana utambulisho wao ambao ni unique na wanauenzi pia wanajivunia utamaduni wao.
Nyie mlio mguu mmoja kwa waarbu na mwingine kwa wazungu mna nini chenu cha kujivunia??
Acheni kudharau utamaduni wa wenzenu kwa kisingizio cha kudhalilishana!! mmeishawasikia wanawake wa huko wakilalamika kuwa wanadhalilishwa?????
Kama kubaki nusu uchi au uchi ni kudhalilishana basi tungekuwa tunazaliwa tukiwa na nguo,Mungu angetuvisha hukohuko tungali matumboni.
Msijifanye kushangaa wsaziland wakati kuna watu nchini hapahapa wanatembea vifua wazi kuko vijijini.Tamaduni zetu zilianzia huko.Na kwa taarifa ni kuwa takwimu za ukimwi swazi ziko chini kuliko tz.kalagabao
ReplyDeletehuu ni unyanyasaji wa wanawake inabidi duniani kote tukemee hali hii, huyu mfalme anachofanya ni against human rights!
ReplyDeleteHuundo utamaduni wa kiafrica hasa na unapaswa kudumishwa?
ReplyDeleteHuyo mfalme ni mhuni tu miaka mitatu mizima bado anachagua tu au anapenda kuona wanawake wakiwa uchi tu?Wamchunguze asije akawa anawabeep baada ya dance halafu ajitia bado anachagua unless he is gay not to see all that beauty.
ReplyDeleteHuu ndo utamaduni halisi wa mwafrica na tuudumishe jamani. Hayo mambo ya wanawake kufunika matiti ni ya wazungu, wanawake wetu wa kiafrica siku zote walitembea na wanatembea vifua wazi. Ila kwa wabongo msiojua hata historia ya nchi na makabila yenu au hata hamja tembelea mikoani ni haki yenu kuwa wanafiki na kujifanya kuwa hamyajui mambo haya na wala hamjui kuwa ni utamaduni wetu wanawake wa kiafrika kutembea vifua wazi.
ReplyDeleteUnafiki, tamaa na uwongo ndo msingi hasa wa kudumaa kwa maendeleo ya watanzania.
Wakati mwingine tujaribu tu kuwa wakweli.
Nadhani mimi sitakiwi kuwa kwenye event kama hiyo!! siwezi kukatiziwa na matiti kama hivyo mbele yangu mie nitailetea aibu bure tanzania yangu. kwanza hata hiyo kamera nitaweza hata kuishika? si itakuwa ikidondokadondoka kila mara!!
ReplyDeleteMdau kwani Swaziland kesi ya ubakaji ni miaka mingapi jela??
nisaidie tafadhari. ikiwa chini ya miaka mitatu basi mwakani nitakuja huko, lakini kama ni zaidi ya miaka mitatu kwakheli siji ng'o manake nasikia hao hawanaga misamaha kwa wafungwa wa ubakaji!!!
mdau wa pajazzzzz
NILIFIKIRI HAWA WANAWAKE WANALAZIMISHWA KUOLEWA NA MFALME KUMBE WANAENDA KWENYE UCHAGUZI WENYEWE (WANAJIPELEKA).
ReplyDeleteMSIMLAUMU MSWATI WALA WADADA HAO, SABABU SI NI UTAMADUNI?
NASI TUNAO WETU NA HUWACHEFUA WENGINE!!!!
halafu ni mabikira, HAWAJAZINI hata siku moja.
ReplyDeleteNchi hiyo itakuwa ina tabia nzuri afrika nzima.
Hata mfalme SOLOMON alikuwa nao 1000 lakini akabarikiwa hakuitwa muhuni na ataenda paradiso.
ReplyDeleteUhuni wa mswati unakuja wapi? Yeye ni mfalme kama wengine, siyo kuwaenzi wafalme wa UK, Denmaki, na sijui wapi halafu mnawakandya waafrika.
Mwalimu Nyerere alipiga marufuku wanawake wa Tanganyika/Tanzania kutembea vifua wazi ingawa ni mila yetu! Napenda kuona watu wanaopenda mila yao! Asante!
ReplyDeletezaidia ya asili mia 40 ya watu swaziland wana ukimwi.
ReplyDeleteMila za kipuuzi hizi, zinatakiwa zipigwe marufuku.
ReplyDeletemimi kama mwanamke naona kama nikudhalilishwa.
Unaolewa na libaba limejaa mtumbo na mwaka wa kesho linatafuta kigori mwingine.
hey mapenzi ni ya watu wawili.
mimi naomba babu seya atembelee huko.
ReplyDeleteshame shame...mbona hao police wamevaa nguo...huu ni ufisadi uliokithiri duniani ....please united nations do something...haya mambo yakomeshwe...ukimwi unatumaliza
ReplyDeleteMMMMMMH MICHUZI WE SI UMEFUNGA MI NAONA HAIFAI KABISA KUWEKA HAWA WANAWAKE WALIO UCHI KTK BLOGU YAKO HATA KAMA KWAO NI SAWA , KAZI YAKO KUTUHABARISHA ILA JARIBU KUANGALIA BASI NA VYAKUWEKA.KWETU HAKUNA MILA POTOFU KAMA HIZI NA SIDHANI KAMA KUNA MWANAMKE AMBAYE ANGEPENDA KUONA PICHA HIZI,KAMA UMEWEKA HIZI BASI KESHO AKIJITOKEZA NA MWENGINE KAWEKA POZI MATITI WAZI UTATUWEKEA SIO,NDIO HIVI VITU VIPO LKN NI HUKO HUKO KWA MUSWAT,NA JE HAPO UNATAKA TUJIFUNZE NINI,TENA NYINGINE ZINAKUJA LAHAULA,SIINGIZI MAMBO YA UDINI HAPA ILA KAMA INGEKUWA KUACHA MATITI WAZI NI SAWA BASI WANAWAKE DUNIA NZIMA WANGEFANYA HIVYO,JIWEKEE KIPIMA JOTO MWENYEWE HII HABARI YAFAA KUKAA HUKU,WENGINE HAPA WASHAENDA NA MBALI KWA KUONA TU,SASA MANAKE NINI JAMANI,HAYA YA MUSWATI WENGI WANAYAJUA HAINA HAJA YA KUWEKA HUKU.NI MAONI YANGU TU NA SAMAHANI KAMA NIMEKUUDHI.
ReplyDeletemdau hapo juu, wanasema "unapotaka kutoa kauli uwe mwangalifu, la sivyo 'utajichora"'..sasa longolongo kibaao 'likoko' sijuwi (inaandikwa na kutamkwa 'Liqoqo') kumbe hujui hata babaye Mswati ni nani?..kadurusu tena..
ReplyDelete- hivi jamani mwajua kweli utamaduni wa hapa bongo, ama sababu wachina hawaji kufanya ziara..katafuteni na muone kitu kinaitwa mkole/mkoleni ama pia mwali kunema. muone kama kuna tafauti na hayo. utamaduni wa mwafrika haukuachana sana. wamkuta mama ananyonyesha kichanga mwenye basi/treni/katika kadamnasi, hata wasiwasi. chuchu ya mmagharibi haionekani hata kwenye kunyonyesha! sasa udhungu umetuingia, tunajitia eti 'nikienda uSwazi ntabaka!' kwa urijali gani? wakati kizazi chenyewe cha sasa angalia matangazo ya waganga ya mkuyati, chekwa kila mwahala! walume bwana walikuweko wakati huo akina Sobhuza..
ReplyDeleteHivi ni nani hasa hapa Tanzania atasimama mbele ya halaiki ya watanzania na kuanza kutufundisha UTAMADUNI HASA WA KITANZANIA (kama upo), ama si hivyo, nadhani si busara kuponda utamaduni wa wenzetu hata kidogo. Tanzania ni nchi iliyojaaliwa kutokuwa na utamaduni wake pekee (mtazamo wangu) zaidi ya kudandia utamaduni wa nchi za wenzetu. Mifano ni mingi sana mfano mdogo tu ni MISS TZ, MISS UTALII n.k. Tafadhalini sana tusije onekana tuliokosa hekima katika matamshi yetu maana sisi hatuna utamaduni wenzangu!
ReplyDeletedennisjoram@gmail.com
Kaka Michuzi!!!! Kwanza Ongera kwa hili! mimi nimekaa Swazi kwa miaka 10 sasa hawa jamaaa wapo juu kwa utamaduni wao kwetu sisi ni longolongo hakuna utamaduni wa mtanzania!~ NAOMBA UMWOMBE MDAU HUYO ATUPE MAMBO ZAIDI YA (REED DANCE) NAJUA ANAYO MENGI ILI TUJIFUNZE KUTOKA KWA WENZETU! BIG UP SAAAANA!!!MANAKE SI TUMESHINDWA TUMEBAKI KUWACHEKA WAMASAAAAAAI!
ReplyDeleteWABONGO MKIONA ISSUE KAMA HIZI COMMENTS KIBAO....ILA SIYO SIRI HAPO PATAMU..
ReplyDeleteNITAMANI NINGELIKUWEPO WANGELINIKOMA WASWAZI.....
HAYA JAMANI UKIMWI HAUNA TIBA NAOMBA MSISAHAU.............................
MDAU WA KAMACHUMU
dah raha sana hiyo nchi kwanza kuna vitotoz vizuri kweli mashallah natamani ndio mie ningekuwa mfalme mana ningeweka kila week hiyo ngoma na kuchagua kitotoz kimoja na kuingia nacho mitini big up mdau aliyeleta picha hiyo na mfalme mswati tatizo linakuja pale kuwaridhisha kimapenzi na hawa wasichana wa huko wanapenda wenyewe kuolewa na mfalme ndio maana wamejitokeza kwa wengi naona mfalme akiondoka na mmoja na washkaji nao wanaondoka na anayemchagua dah raha sana
ReplyDeleteMdau Fataki Wa Kariakoo
There are three reasons for breast-feeding: the milk is always at the right temperature; the cat can't get it and it comes in attractive containers.” - Irena Chalmers
ReplyDeleteMZEE NANIHII,
ReplyDeleteMIMI NILIPOONA HII MAMBO NILISTUKA NIKAJUA NIMESHATUMBUKIA KWENYE ILE MTANDAO YA ZEUTAMU KWA MAKOSA.
KUMBE NI BLOGI LETU LA JAMII LIMEPANDA CHATI?
Bongo tuna tamaduni kibao. Kutotana na kuwa na makabila mengi. Watu wengene wanadhani umasai ni utamaduni wa kibongo. Ukweli ni kwamba hakuna tamaduni moja ya kitanzania. Tunayo makabila wanawake Wanaacha nyonyo nje vilevile. Utakuta nyoyo zimeninginia mpaka tumboni lakini dada Hana noma na mtu, na hakuna anayembaka kwa sababu ni mila watu kwenye Hilo Kabila washazoea hii Hali. Kama siyo mila yako utaona huu ni unyanyasaji lakini kama unayemwona ananyanyaswa yeye haoni hivyo unajisumbua tu. Kweli waswati wamebarikiwa kwanini wazifiche hizo baraka!
ReplyDeleteTUTUMIE PICHA ZAIDI KAKA.....
ReplyDeleteNyie wadau mnaosema utamaduni huu wa Waswat ni uzalilishaji wa wanawake, mmekosa ya kusema, Kuna aliekwisha ona ngoma ya Wamakonde wakitoa wali wao toka unyagoni? vifua wazi na mwali anaweza akapata mchumba hapo hapo! Huo ni utamaduni, acheni waswazi wajidai wenyewe wanapenda nyie mwakerekwa nini? Wivi huwo!
ReplyDeletewatoto wa huko wakalimu kinoma
ReplyDeleteKAKA MICHUZI KWELI WEWE NI INTERNATIONAL
ReplyDeleteThis is bullshit, as a king he needs to be doing something better than that.Funny enough he is a good friend of J.K. I don't know what they be talking about.....just curious as always!
ReplyDeleteMpiga boksiiiz mwandamizi.
nyinyi mnaopiga kelele humu ndani ati ni kudhalilisha wanawake kwani wameshikiwa bunduki? nyie hamuoni wana raha zao ile mbaya hiyo ngoma ni nzuri saana ambaye anakwazika asiangalie katu acheni ushambenga kwa raha zao utasikia mara ooh waafrika tusiige tamaduni za kimagharibi na huo je ni wa kimashariki? acheni hizo wazungu hao hao ndo wameleta nguo leo mnajidai mnajua kuliko wao enzi za akina kinta kunte mambo si yalikuwa mtindo huu? hii mila ndo yenye nguvu afrika IDUMUUUUUUUUUU nyoyo out oyeeeeeeee
ReplyDeleteMichuzi kama wewe ndiyo umeweka/kuruhusu hizo picha kwenye mtandao, Tubu toba ya kweli na umrejee mola wako kwa makosa uliyofanya hasa ktk kipindi hiki cha Ramadhani kama ulikuwa hujui kufanya hivyo ni makosa na kama inawezekana uzitoe kwenye mtandao picha hizo.
ReplyDeleteWakati wengine watakuwa wakipata thawabu zinazoendelea kulingana na mema wanayoyafanya wewe utakuwa unapata madhambi yanayoendelea kutokana na kila dhambi itakayofanywa na mtu yeyote kwa sababu ya kuona picha "ulizowaonyesha".
Uwe makini na maoni yanayotolewa, utaelewa tu kwa anayeshabikia uzinzi na anayemuogopa Mwenyezimungu utaelewa tu ukisoma maoni yake, kumbuka duniani wote tunapita na kuna ambao wakionywa wanaonyeka na kuna ambao nyoyo zao zimeshapigwa mihuri ya Jehanamu ni sawa kwao "uwaonye au usiwaonye" je wewe uko kundi lipi??? Ujumbe umefika na kila mmoja atawajibika kwa matendo na kauli zake.
Salaam Aleykum!!
Jamani mi naomba kuuliza kuhusu hii picha ya mwisho, naona kuna watoto hao wawili hivi wanajua hata nini maana ya kuolewa? au wamesindikiza dada zao? Maana sitaki kuamini kama wao pia ni miongoni mwa waliokuja kuchaguliwa ili waolewe na mfalme? Du! kweli hii kali. Hivi kweli si atakuwa anakutana nae the first time tu then anaishia kwenye mizunguko ya wake wengine mpaka mwaka unafika wa kuchagua mke mwingine?
ReplyDeleteHivi ni nani hasa hapa Tanzania atasimama mbele ya halaiki ya watanzania na kuanza kutufundisha UTAMADUNI HASA WA KITANZANIA (kama upo), ama si hivyo, nadhani si busara kuponda utamaduni wa wenzetu hata kidogo. Tanzania ni nchi iliyojaaliwa kutokuwa na utamaduni wake pekee (mtazamo wangu) zaidi ya kudandia utamaduni wa nchi za wenzetu. Mifano ni mingi sana mfano mdogo tu ni MISS TZ, MISS UTALII n.k. Tafadhalini sana tusije onekana tuliokosa hekima katika matamshi yetu maana sisi hatuna utamaduni wenzangu!
ReplyDeletedennisjoram@gmail.com
Basi huko ikiwa mfalme anaoa wake wengi hivyo basi ujue pia watu wengine wanawake zaidi ya tano.
ReplyDeleteNdio maana maambukizi ya Ukimwi katka nchi hiyo yanashika kasi. Katika nchi za Afrika Nchi hii pia ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa Ukwimwi.
Kaka Michuzi mimi swali langu nalielekeza kwako na pia kama hujui ningeomba ufanye utafiti kuhusu hili.
ReplyDeleteMfalme huyu anaoa wake wote hao. Je baada ya kukutana nae kimwili mara ya kwanza na kuondoa huo udogo wake je anaweza pata chance yakukutana nae tena kimwili?
Sababu wake ni wengi au akisha pata kipya ndio hao wengine anawasamehe hakutani nao tena?
Na jee kama anaweza kukutana nao wote huyu ananguvu za aina gani, ni wa kawaida au anatumia dawa?
Na huyu mfalme anawatoto na hao wake zake wote? Anawatoto wangapi?
Nakuuliza sababu nahisi kama hawezi kuwatimizia vile!!! Labda tuseme akifanya kila siku mmoja mmoja hadi kufika mwisho ni siku kumi na tatu. Je huyu wa kwanza siatakuwa keshapata hamu siku nyingi ya kufanya tendo la ndoa?
Je huyu mwanamke anajikwamuaje katika kukidhiwa haja yake?
Hawa wanawake hawatoki kweli nje ya ndoa!!!??? Au kwao kutoka nje ya ndoa ni poa tuu kama zile tamaduni zetu za zamani za Wambulu na Wamasai??
Dah! hakuna news zilizonoga kama hizi! Hivi bro Issa unafanyaga uchunguzi kuchunguza ktka News zako ni ipi iliyopata watoa maoni wengi zaidi? Sababu nahisi hii imetia fora.
ReplyDeleteYani nikifungua tuu nakimbilia kuosoma maoni.
CHA AJABU NI NINI HAPO? INAMAANA UKIMUONA MAMA YAKO AU DADA YAKO MATITI WAZI UTAMTAMANI?
ReplyDeleteUDHAIFU WENU WA MIOYONI NDO ITAWAFANYA MFUNGULIE KWA KUONA PICHA HIZO.
MI MUISLAMU MBONA SINA MATAMANIO YOYOTE? KUFUNGA KUKO MOYONI NA KICHWANI KWAKO. ACHENI UDHAIFU,
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh! ebwana hyo kali hasa! da`JANE hapo juu umeambiwa its4rm miaka m5, yan cant emagine hao watoto kama wakichaguliwa how watamhandle mweshimiwa,
ReplyDeleteWe anon Wed Sep 02, 09:41:00 AM........Tutajuaje labda wewe sio rijali. Mwanaume aliyekamilika uanaume lazima asisimke japo. Na pia ikichangiwa Watanzania wengi hawajazoea kukaa hivyo wazi, uchi zao ni maziwa, makalio na nanihii na ndio maana wanaume wanapoona maziwa ya mwanamke wanapenda kushika, na hata kunyonya then eti wewe unasema husisimki. Hehe heeee hebu kapime ujitizame kama mzima.....
ReplyDeleteAisiiiiiiii yani natamani kama wangekuja bogo na hayo mavazi yao. Airport nahisi asingembandua mtu. Yani ingekuwa full kunogaaa. Kama napata taswira vile ya siku hiyo!!!
ReplyDeleteKAMA WADADA WOTE HAO NI BIKRA... hyo tamaduni iendelee tuu coz pia huafanya wadada kujichunga sana na kufaidisha wanaume ambao watoa wale ambao hawajawa chaguo la mweshimiwa,,
ReplyDeleteau mnaonaje wadau wakiume jaman?????????????????
NI asubuhi nyingine tena naamka nafungua michuzi blog nione kilichojili. naamua kabla ya yote kwanza nirush kwenye zile picha chokozi za watoto watupu wa kiswaziland ili nipate kifungua kinywa. moja kwa moja nakimbilia kwenye ile picha ya mwisho kabisa ambapo kuna huyu mtoto mbichi mwenye matiti yanayonifanya nihisi harufu ya damu kila niyaangaliapo. pembeni yake nakiona kidume kimesimama kinacheka tena kinaangalia pembeni naamua kuachana nacho kwa mana nahisi pengine uume wake hausimami au labda kimelaaniwa.
ReplyDeletenayaangalia tena haya matiti naangalia mapaja napandisha tena juu kwenye matiti duh!! hatimaye nafikia conclusion moja stahili kabisa "NADHANI HATA DADA YANGU AKINIKALIA HIVI TENA CHUMBANI MI KWA KWELI NABAKA POTELEA MBALI!!!"
tunashukuru kaka michuzi kutupatia yale yanayotekea duniani haya ilitakiwa tuwe tunayafahamu toka long time ili tulikosa wataalamu kama wewe wa kutuweka hewani na mambo kama haya kaza buti mkuu bye
ReplyDeletewewe kama una pepo la uzinzi utazini tu hata bila ya kuwaona waswazi big bro michuzi
ReplyDeletekwani kufunga ramadhani kuna uhusiano gani na picha za mfalme mswazi?au mnataka kila mtu ajue kuwa mmefunga,kufunga ni siri ya moyoni wewe na mungu wako ok
ReplyDeletejamani twende mbele turudi na nyuma hivi hiyo picha ya nne huyo binti ni bikira kweli huyo?? mh labda kama amekamulia ndimu kutighten!! matiti hayo yashanyonywa sana hayo hata kama si na watoto basi na midume!!! sasa hapo ndo ushangae dume likalie kunyonya matiti tu bila kushuka chini!!! hiyo haiwezekani baada ya kufaidi mwisho lazima ushuke chini. hamna bikira hapo tunadanganyana.
ReplyDeletemfalme mswazi huku ulaya na marekani kuoa mke wa pili tu ni kosa la jinai unakwenda jela sasa wewe hao wake 15 sijui wangekufunga jela maisha uzuri huku mfano uk hakuna adhabu ya death
ReplyDeletesafi sana kaka michuzi kutupatia mambo ya hapa duniani ili tuwe tunajua kila kona ya dunia matukio current big up yalushe tu yakipatikana
ReplyDeletechonde chonde mliofunga ramadhani haya ni mambo ya kawaida tu tena ni vitu vidogo sana kwa mtu mwenye imani ya rohoni
ReplyDeletemfalme mswati hiyo ni abuse kwa wanawake amnest international au human right watch wako wapi?
ReplyDeletehalow bora kuhamia huko uswazi hii ni noma kabisa
ReplyDeleteWenye red feathers kichwani ni girls from the royal family..msichana mwenye filimbi ni Princess Sikhanyiso mtoto wa kwanza wa King Mswati na Inkhosikati LaMbikiza..she is the chief maiden kuwaongoza the rest of the girls kwa dance..usually wasichana wenye 'long necks' ndo huchaguliwa as the king's fiancee so that akivaa zile shanga when breastfeeding ikae vizuri..akiwa pregnant then anakuwa a wife
ReplyDeleteWith an estimated adult prevalence of 25.9 percent, based on recent data from the 2006–2007 Demographic and Health Survey, Swaziland has the world’s most severe HIV/AIDS epidemic, which poses a serious challenge to the country’s economic development. Results from this population-based survey represent improved accuracy of HIV/AIDS estimates and indicate a lower national prevalence rate than the 33.4 percent previously reported in the 2006 UNAIDS Report on the Global AIDS Epidemic. Since the country’s first AIDS case was reported in 1986, the epidemic has spread relentlessly in all parts of Swaziland. From 1992 to 2004, prevalence among pregnant women attending antenatal clinics rose from 3.9 percent to 42.6 percent, according to Swaziland’s 2005 report to UNGASS. According to UNAIDS, in 2005, women aged 15 to 24 attending antenatal clinics had an HIV prevalence of 39 percent nationally and 43 percent in Manzini. UNAIDS also estimates that approximately 220,000 people in Swaziland are HIV positive, including 15,000 children under age 15.
ReplyDeleteUNCLE HEEE! hongera saaana ! tuletee mambo zaidi ili tuwajue wakinani wakiona kwa picha wanachemsha ili wapate upakoo! hiyo mambo ni safi sana tujifunze kwa wenzetu tuache ushambenga!!1 kaka michuzi omba picha zaidi tujifunze ya ukweli!!!!!!!!
ReplyDeleteKuuliza sio ujinga:
ReplyDeleteBalozi Michuzi, kama umefunga na unapata picha hizi na kuzitundika baada ya kupiga chabo ya nguvu, Je bado thaumu unayo?
ndiyo saumu anakuwa nayo na jioni anafuturu we ulitakaje?? mbona uliona raha kuziangalia na kutuma comment??? unafiki mwingine bla bla bla bla bla bla kwa hiyo mfungo ukiisha ndo mnaruhusiwa kuangalia??? si bado ni dhambi??
ReplyDeletebado zipo??
ReplyDeleteasante
Mambo gani sasa,,ata kama ni tamaduni sasa tunahitaji kubadilika bwana,,,wanawake wengi wa nini???
ReplyDelete