Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Batilda Burian akizungumza na Ujumbe wa Umoja wa Ulaya{EU} kulia kwa Waziri ni Balozi wa Sweden Bw Staffan Herrstrom na Balozi wa Jumui ya Ulaya Bw Tim Clarke uliomtembelea na Kumweleza msimamo wao Kuhusu Mabadiliko wa Tabianchi kuelekea Mkutano wa Denmmark. Picha na Ali Meja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Habari za asubuhi, Michuzi inaelekea ulikuwa na haraka sana, maana naona makosa ni mengi hapa. Comment yangu ni kurekebisha majina ya hao waheshimiwa....Balozi wa Sweden ni Staffan Herrstrom na Balozi wa Jumuiya ya Ulaya ni Tim Clarke...Siku Njema

    ReplyDelete
  2. Serikali yetu ilidaharau sana kuhusu haya mambo ya ongezeko la joto na badiliko la hali ya hewa.Na ndio ilikuwa inasaidia kuwezesha kuwepo na hali hiyo.Walifanya hivyo kwa fikira za kiuchumi,wameshindwa kujua wanakata magogo ,kumbe wanaondoa co2 absobers.Na maana hiyo madahara yake ni kubadilisha hali ya hewa ,mfano kubadilika kwa msimu wa mvua,ukame,mabwawa yetu kutokuwa na maji[mtera].Na kusababisha uchumi unaoutetea kuchuka,na wananchi kutolima chakula,wanayama kupotea na watalii kutokuja hapa Tanzania.wachumi wa Tanzania lazima wabadilike na kuwa green economy.Sio wachumi wanaipeleka nchi shimoni.
    Mdau Washington DC
    www.ireq-tanzania.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...