Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. UMEWAONA HAO SIKU HIZI NI WAZEE, SIKU HAZIGANDI, NILIBAHATIKA MWAKA JANA KUWAONA BONN GERMANY TULIGONGANA KWENYE HOTEL MOJA HIVI NI WAZEE.

    ReplyDelete
  2. boney m ni kati ya makundi bora kabisa ya muziki kuwahi kutokea katika karne hii big up

    ReplyDelete
  3. Kaka asante sana kw akuleta kitu hicho. Kinanikumbusha enzi za RTD akina Julius Nyaisanga, Charanga Boss, na wenzao wote wa wakati ule walikuwa wakija na vitu vya wakati ule. Boney M ni kundi ambalo lna sifa ya kipekee kwingineko duniani lakini USA hawalikumbuki wao na wanamuziki wao 2.

    ReplyDelete
  4. Ahsante ankoo nanihii kwa kutumbusha za late 70's early 80's Boney M ni mai favorait, mdau USA

    ReplyDelete
  5. u have remind me of my late ma who was really in love with bon m and made me love them too though i was a little girl,mdau

    ReplyDelete
  6. Nani alikuwa zaidi kati ya Boney M na ABBA

    ReplyDelete
  7. Ankal, ni wapi naweza pata kanda ya hizi nyimbo? i luv them. Please wadau, msaada kwenye tuta.
    Mdau

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...