MDAU CHEKI GEMU LA GHANA NA NIGERIA KWA KUBOFYA HAPO CHINI.
HIVI SASA KIPINDI CHA PILI NDIO KINAANZA NA GHANA WAKO MBELE KWA BAO 1-0

http://www.tvchannelsfree.com/watch/8306/Ghana-vs-Nigeria---Flash-Player.html

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. asante mdau kwa kutupa link game limeisha na ghana 1 nigeria 0 blog ya jamii idumu yaani soka la africa huku USA wanatubania sana kuangalia lakini leo hii link imenionyesha full game

    ReplyDelete
  2. asante mdau kwa taarifa, gemu hilo lilikwisha kwa matokeo hayohayo kumaanisha kuwa Ghana wanakwenda fainali na sasa kipindi cha pili Eagypty na Algeria kama dk ya 70hivi huku Eagypt wakiongoza kwa bao moja bila. Asanteni!!!
    Mdau,
    Katongo A.M

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...