hapa ni Kilombero Mbega Resort iliyoko Ifakara wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro
ankal akila vekesheni yake Kilombero Mbega Resort. Huwezi amini kila kitu ndani hapa
Ifakara inaweza kuwa zaidi ya kilomita 450 toka Dar lakini nyungo hizo juu zinauweka huu mji karibu na kila mdau
lango kuu
vyumbani
ukumbi wa mikutano
ukitaka undani zaidi






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nice pics mandhari nzuri sana, great!!

    ReplyDelete
  2. Ndio Ifakara (IFOZA) yetu hiyo,Ankal.Asante kwa picha maridhawa.

    ReplyDelete
  3. Inatia moyo kuona hizi dalili za maendeleo sio kila siku kusikia habari mbovumbovu tu.Asante kwa picha.

    Sasa Ankal shemeji mbona hatumuoni?

    SAnkal sasa shemeji anakupa ruksa kwa ajili ya hizi vekesheni kila siku ama ankal huu ni ukaidi tu?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  4. Mmhh why did u hav to lie mission cku hz ndo lodge. Huyo anony anaesema je Shem anakupa ruksa au ukaidi well she/ he is right in one way cuz u use ur job as an excuz for madudu yk but kwajili ya kaz ur free my luv. Enheeee nmejisahau nisijedundwa bure na mishangingi yk.

    ReplyDelete
  5. Mmhh why did u hav to lie mission cku hz ndo lodge. Huyo anony anaesema je Shem anakupa ruksa au ukaidi well she/ he is right in one way cuz u use ur job as an excuz for madudu yk but kwajili ya kaz ur free my luv. Enheeee nmejisahau nisijedundwa bure na mishangingi yk.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...