Kamwano Sabuni akiwa na marehemu mama yake mzazi enzi za uhai wake
kamwano Sabuni anasikitika kutoa taarifa ya msiba wa mama yake mpendwa Asha Juma Waziri, uliotokea leo saa tisa alfajiri tarehe 13th February 2010 katika hospital ya Hindu Mandal Dar-es-salaam.
Mazishi yatafanyika mkoa wa Tabora na safari itaanza kesho tarehe 14th February 2010 alfajiri na msafara utaanizia sinza kwa mjomba wa Kamwano Sabuni
Kwa mawasilianai zaidi mpigie Kamwano kwenye number hi +255776279327 na mkewe kamwano ambea yuko London anapatikana kwenye no hizi +44 (0) 7960 007521, +44 (0) 7404 266658.
Pia kwa anaetaka kutoa mchango wake au rambi rambi zake tumia bank details zifuatazo,
Bank details Bank Name:- Natwest
Address: 104-110 Fore Street
Bank details Bank Name:- Natwest
Address: 104-110 Fore Street
Upper Edmonton
LondonN18 2XA
United Kingdom
Account Name: Samira S Baamar
Sort code 60-07-32
Account No. 47112999
IBAN: GB62 NWBK 6007 3247 1129 99
BIC: NWBK GB 2L
ORBank Name:- Barclays
Address: 6 Market Square, Waltham Abbey, Essex, EN9 1DN
Account Name:-Samira Baamar
Account Name:-Samira Baamar
Sort Code:- 20-29-81
Account No. 50978035
IBAN:- GB47 BARC 2029 8150 9780 35
SWIFTBIC:-BARCGB22
Ina Lillahi wa Ina Illaihi Rajiun.
ReplyDelete(US Blogger)
Mwenyezi mungu amlaze mahali pema, ameen.
ReplyDeleteK-Sap!! Pole saana kwa msiba mzito ndugu yangu...
ReplyDeleteMola akupe nguvu wangu!
Mdau
Hi K-sap,
ReplyDeletePole sana kwa kufiwa na mama yako. My prayers are with you and your family all through this trying time.
Regards,
Paul Mbenaa (Mr Paul)