Gumzo limezuka huko ughaibuni juu ya uhusiano wa supa modo wa Kitanzania Flaviana Matata na mjasiriamali tajiri mmarekani Russell Wendell Simmons kwa kile ambacho wadau wa huko wanahisi iko namna kati ya mwanadada huyu anayefanya shughuli za umodo Sauzi na Simmons. Globu ya Jamii inaendelea na juhudi za kumsaka Flaviana kutaka kusikia kutoka kwake.
kwa habari zaidi
kuhusu Russel Simmons
kuhusu Flaviana Matata
kwa taswira zaidi
Ankall,
ReplyDeleteHebu mwacheni binti atanue na maisha yake jamani. Kama wamependana na Russell tumwombee heri.
Mdau, Reading.
Who cares??
ReplyDeletemama shikilia hapo hapo na wewe uje utengeneze show yako kama kimora lee..
ReplyDeleteHongera dada yetu. Umeipeperusha bendera ya Taifa huko ughaibu hasa kwa mtu mkubwa kama huyo.
ReplyDeleteKinda pumba thou
Akili kichwani, lazima uwe mjanja, mpende ukweli lakini huku ukiwa na mipango yako ya uchumi ambayo yeye kama mwanaume lazima akusaidie. all best wishes.
ReplyDeleteBAADA YA KUACHANA NA SIMONS, KIMORA ALIMUOA HOUNSOUN DJIMON, YULE SUPPORTING ACTOR AMBAYE NI MWENZETU 'MZAWA' WA AFRICA. WATU WENGI WAME COMMENT KWAMBA KUACHA PIJAPI CHA UIGIZAJI, DJIMON NI 'VERY UNGLY'. KWA HIYO KIMORA KAOLEWA NA MTU ANAYEONEKANA NI 'UGLY'. JE, KITENDO CHA SIMONS KUWA NA HUU UHUSIANO NA FLAVIANA NI AINA FULANI YA KURUDISHA MAPIGO, 'BEEF'? HII NI TEASER TU!!
ReplyDeleteUshauri uliotolewa hapa umenichekesha sana
ReplyDeleteAya
hahah kamjibu Kimora basi
ReplyDeleteSASA JAMANI KWANI LAZIMA MUWEKE IKAWA SKENDO AU GUMZO KWANI NYIE HAMNA WAPENZI SI KIIVYO MIMI SIJAPENDA WALA NINI
ReplyDeleteShe is free mradi havunji sheria. Tuombeane heri badala ya kuwa ma-"PHDs" (pull him down syndrome ya wivu unaotokana na chuki ya kuona wenzako wanafanikiwa: ugonjwa mkubwa sana TZ).
ReplyDeleteWaegoshirikilia hapo hapo. Bonge la makaratasi hayo.Ila uwage unatembelea na hapa kwetu, mimi niko mtaa wa pili hapa tu, wala hauitaji visa.
ReplyDeleteSome of us are Dangerous! Hatufungamani na upande wowote.
ReplyDelete