Home
Unlabelled
abraham na desta wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Ibra, na sisi tutafuata Nyayo zako karibuni. ila ukumbuke kurudisha kadi ya Ukapera kwa Katibu mkuu kwa ajili kuaanga rasmi chama ulichotuachia. thanks
ReplyDeleteHongera sana Kaka kwa ndoa.. sanaaaa
ReplyDeleteIbra na Mamsap,
ReplyDeleteKila la kheri kwenye maisha ya Ndoa. Mungu abariki nyumba yenu.
Soames,
Reading, UK.
KAKA IBRAAA BONGEEE HONGERA SANA MZEEE DAAAAH SIKUEPO LAKINI TUKO PAMOJA SANA
ReplyDeleteSIR FRENJE
Hongera sana Ibra na Mamsap.
ReplyDeleteJohn,
Sweden.
jamani anaitwa abraham nani na desta nani manake naona ni bonge la harusi ya kukata na shoka na vingunge ndani
ReplyDeleteHUYU KAKA NI ABRAHAM NANI NA DESTA ALIKUWA MISS NANI. YOU GUYS MAKE A GOOD COUPLE CONGRATULATIONS. MAY THE LORD BLESS YOU.
ReplyDeleteu guys looking so awesome cant even comment....may god gives u a long term peaceful and happy ever Marriage.Collins!(The Designer of your Invitation Cards)
ReplyDeleteJamani Huyu ni Ibra wa KIU? Duuuh kama ndiye nakupa Hongera sana mtu wangu bora sasa nawe uwe baba Saluteeeeeeeeeeeee,Nasikitika tu siwaoni wana KIU ktk picha wakikupa shavu
ReplyDeleteTheddy!