Mgombea Mwenza wa Urais Kupitia tiketi ya CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipokea zawadi ya Mbuzi Rashid Malinzi, mtoto wa Marehemu Rashid Mbakilek, aliyekuwa mmoja kati ya waasisi wa Tano 1955, mara baada ya Dk. Bilal kuzindua shina la wakereketwa katika Kijiji hicho cha Ruzinga-Kanyigo, jana mchana.
Mgombea Mwenza wa urais kupitia tiketi ya CCMm Dk. Mohamed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua Shina la wakereketwa lililojengwa katika Ofisi ya kwanza ya iliykuwa TANU na baadaye CCM iliyoanzishwa 1955i, katika kijiji cha Ruzinga Wilaya ya Misenyi mkoaa wa Kagera, wakati alipofika kijijini hapo jana kufanya mkutano wa kampeni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ahsante michuzi lakini Ruzinga sio Kanyigo tafadhali hii geografia yako sio ila kanyigo kuzuri sana.

    ReplyDelete
  2. ahsante michuzi lakini Ruzinga sio Kanyigo tafadhali hii geografia yako sio ila kanyigo kuzuri sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...