ASSUMPTA MALONGO (WA PILI KULIA) AKIGONGA CHEERS NA WAFANYAKAZI WENZAKE WA VODACOM KANDA YA KASKAZINI, AMBAPO WAFANYAKAZI WENZAKE WALIMFANYIA KAMNUSO KADOGO KA KUSTUKIZA MARA TU BAADA YA KAZI JANA JIONI KATIKA OFISI ZA VODACOM KANDA YA KASKAZINI ARUSHA. ASUMPTA NI MFANYAKAZI WA VODACOM KANDA YA KASKAZINI ARUSHA KAMA SHOP SUPERVISOR - SUMMIT VODASHOP.
ASSUMPTA AKIPOZI WAKATI WA KAMNUSO HAKO KA KUSTUKIZA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. happy belated birthday asumpta!
    from mdogo wake na huyo bi dada hapo!jina kapuni..lol...miss u guys!

    ReplyDelete
  2. A year older...congratulations wishing U happy life,kyockete!

    ReplyDelete
  3. Namimi pia kama mteja ninaungana na wenzangu ktk kukupongeza. Japo mumefanya kamnuso kakiushkaji mbona Papaa Elifuraha Mtowe hakualikwa angeangusha bonge la sala hapo

    ReplyDelete
  4. JAMANI ARUSHA IS NO LONGER A-TOWN.... IT IS A-CITY. NAWEKA KUMBUKUMBU SAWASAWA MR. MISSUP..OK???

    ReplyDelete
  5. ¡Mamá de cumpleaños feliz Potito - Assumpta!

    ReplyDelete
  6. happy birthday asumpta,mkoba wako,farid hapa

    ReplyDelete
  7. Happy birth day Asumpta.I do remember our days at Falcon Transworld Tanzania LTD in Dar.I do wish you all the best my sister!long live Asumpta.
    Your brother Hosea Sichone.

    ReplyDelete
  8. Happy Birthday bibie! From mwanachama mwenzio, chama cha Wadada!

    ReplyDelete
  9. ata km umebania comment yangu ankal

    hawa ni wauza sura tu voda...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...